Tulonge

Huyu ni msanii wa sanaa ya uigizaji wa filamu za Kibongo. Kutokana na
matendo yake tunayo yasikia na kuyaona.Unadhani anafaa kuwa mfano wa
kuigwa na jamii ya kitanzania?


Views: 1756

Reply to This

Replies to This Discussion

Hata huyu tabia yake mbovu tu,kila kukicha skendo zake na madem tu.
i hate mwanamume anaye jichubua kuringa kama demu wakati hiyo ni sifa yetu ss

Msanii kioo cha jamii ni kweli kabisa,lkn si wasanii wa hapa tanzania wamekuwa ovyo sana ktk shughuli zao na hata nnje ya shughuli zao za move.wanajichubua,wanasuka nywele zao na mambo mengi tu ya ajabu hawa ni kwa upande wa wanaume,Na upande wa wanawake ndio balaa kabisa mavazi yao yamekuwa hatari sana.

kuna wasanii wengine ni washamba tu,yaani wakifanikiwa kuingia katika ulimwengu wa sanaa wandhani basi huko ndio sehemu ya kushoboka na kuwademua mademu kwa fujo.na mademu nao wakifika huko basi wanacharuka na kudhani huko ndio sehemu ya kuchange mamen.badala ya kuwa kama kioo wanapokuwa katika fani hiyo ili waigwe wanaitumia nafasi hiyo kusaka magonjwa na udaku udaku.

wengine badala wakue kisanii wanazidi kuwa chini na kupoteza umaarufu wao.sijui ni ubongo ndio unaowasumbua au tatizo ni nini.

mi nadhani labda wengine wanavamia fani maana ninavyoajua fani hii ukiisomea huwezi kuw amcharuko kihivyo,maana utafundishwa katika shule ya fani hii maadili na heshima,silaha hizi mbili ukizizingatia wakati unaigiza utafanikiwa na siku zote utakuwa juu,jamii itajifunza kutoka kwako na kukufanya kioo cha jamii.

 

lakini ikiwa heshima mgogoro maadili tabu,unadhani nani atakuwa tayari kujifunz akutoka kwako.watu hatuko tayari kujifunza matatizo bwana.

kwanza ameshapoteza sifa ya uanaume ambayo ni kujiamini,  i hate mtu anayejichubua, ray anachichubua. na mengingine mengi ambayo hayafai, aliwahi kusema ameokoka lakini kwa sasa ameacha, hivyo hafai kuigwa na jamii.

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*