Huyu ni msanii wa sanaa ya uigizaji wa filamu za Kibongo. Kutokana na matendo yake tunayo yasikia na kuyaona, unadhani anafaa kuwa mfano wa kuigwa na jamii ya kitanzania?
wapo watu humu ndani bado hawakubaliani na mada hizi bado wanasema huyu ni kioo cha jamii, hata ukijalibu kuwafafanulia hao wanakufafanulia wanavyojua wao,