Mtoto wa kiume aliyekuwa boarding school aliandika barua kwa baba yake akitaka pesa.
Son's request; Dad, condition critical at school, send money or else suicide.
Dad replied; situation at home very terrible, suicide approved.
Tags:
tehetehetehe!! mtoto alikuwa anatingisha kiberiti akakuta ndiyo kwanza njiti zimejaa.
Hahahahhaaaa safi sana dingi. Dogo anajifanya kupiga mkwara.
hahahaaaa... mzee katoa ruksa kwani atakuwa amepunguza matatizo.. hahahaaa .. dogo lazima awe mpole!!
Ha haa haa haaa.... dogo alikuwa hajui kuwa dingi naye alipitia humo humo. Ha haa
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by