Kumbuka kila siku upatapo neema sema alhamdulillah, ukianza jambo sema bismilah, ukikasirika sema audhubilah, ukistaajabu sema subhanallah, ukitendewa wema sema jazakallah kheir, ukiona mazuri kwa mwenzio sema.mashaallah,na ukiahidiwa jambo sema inshaallah, ukihisi maumivu sema lailahailallah.
KWA DISMAS HIZA NASEMA MASHALLAH.