Tulonge

Kumbuka kila siku upatapo neema sema alhamdulillah, ukianza jambo sema bismilah, ukikasirika sema audhubilah, ukistaajabu sema subhanallah, ukitendewa wema sema jazakallah kheir, ukiona mazuri kwa mwenzio sema.mashaallah,na ukiahidiwa jambo sema inshaallah, ukihisi maumivu sema lailahailallah.KWA  DISMAS HIZA NASEMA MASHALLAH.

Views: 402

Reply to This

Replies to This Discussion

Tatizo lenu nyie vijana mnayatumia hayo maneno sehemu zisizo takiwa. Mfano mwanamke aliyejaaliwa akipita utasikia "Mashalah!", "Asante" n.k
mashallllllllllah nimeona mazuri kwa mdau humu
HAhahahaahhaha! Hivi wewe unayatumia kweli maneno kama haya????@Omari
Yes Alfan huwa naya2mia sana shekh, vp uko poa?
Ahsante kwa kutukumbusha ... tutajaribu kutumia


mujydebubyz said:
mashallllllllllah nimeona mazuri kwa mdau humu


yes tunapaswa kukumbushana maana vijana tunajisahau kumkumbuka Mungu.

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*