Tulonge

Katika basi mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto wake. Mtoto alikataa ndipo mama akamwambia "nyonya kama hutaki nampa anko anyonye" Anko ni abiria aliyeketi siti moja na huyo mama. Mtoto amenyonya kidogo then akaacha tena mama akamwambia tena mwanae nyonya kama hutaki nitampa anko anyonye. Ndipo yule kaka (anko) kwa hamaki akasema: "Mama uwe na msimamo, unajua nimepitiliza vituo vinne kwa ajili yako? Hebu kuwa mkweli unanipa ninyonye au nishuke?"

Views: 585

Reply to This

Replies to This Discussion

Teh teh teh huyo anko nahisi atakua tahira

Haaaa, huyo aliwaza ktiu kingine huyo hakuna cha tahira wala nini....teh teh!!

Ha haa haa haaa.... uncle naye mwingi wa habari. Ha haaa

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*