Tulonge

Kutokana na utendaji kazi mbovu wa TANESCO.Unadhani ni jina gani linalofaa kulibatiza shirika hili?

Mimi nimechoshwa sana na utendaji kazi mbovu wa Tanesco ambao unatupelekea kukosa umeme kila wakati. Vile vile kutuunguzia vyombo vyetu kila mara pasipo kutulipa wala nini. Hebu libatize jina litakalo lifaa shirika hili kutokana na utendaji wake mbovu wa kazi.

Views: 973

Reply to This

Replies to This Discussion

Hahahaaa Severin hamnazo sana. Mimi sijui niwaite nani, ngoja nikawatungie bonge la jina then narudi hapa

TANGISUCO  - TANZANIA GIZA SUPPLY COMPANY

Hawa jamaa tuwaiteeeeee........................

Mi naona tuwaite Tanzania Umeme kwa Zamu Company. (TAUZACO)

mimi naona GIZANESCO.

mimi naona tuwaiteeeeee,    UWAKITACO,  ,,( umeme wa kinafki tanzania compuny)

Hahahhaaaaaa majina yameniacha hoi.

KAKUVIWATA (Kampuni ya Kuunguza Vifaa vya Wananchi Tanzania)

Hahahahahah..wadau mnanifurahisha sana na majina yenu ya ajabu...tehetehteehete

Kukosekana au huduma mbovu ya umeme Tanzania inatufanya watanzania tuwe na mashaka ya jina la shirika la umeme Tanzania,kama kweli hili lipo kwa ajili ya kutoa huduma nzuri ya Umeme kwa wa-Tanzania kusingelikuwepo ukosefu wa umeme wa kila wakati na huduma mbovu,na tusingepata hasara kwa kuuguziwa vifaa vyetu.

Kwa mantiki hiyo tunamashaka na jina hili "Tanzania Electric Supply Company" (TANESCO), hili ni jina la kuchakachua.Jina sahihi la shirika hili ni hili hapa:

"Tanzania Electric Crisis Company" (TANECCO ).

KAMPUNI YA MGOGORO WA UMEME TANZANIA.

Au kama sio jina hilo basi litakuwa jina hili:

"Tanzania Electric Decay Company" (TANEDCO).

KAMPUNI YA UOZO WA UMEME TANZANIA.

Watanzania tunamashaka na kale kaneno ka SUPPLY kanakopatikana katika neno TANESCO, mi nadhani kameingizwa ingizwa tu kifujo fujo.

hahahahaa... HIyo SUPPY unayo ona ni  GIZA "SUPPLY" COMPANY... kwa lugha nyingine ni kambuni inayo sambaza giza tanzania. .. teheheheee

Chalii_a.k.a_ILYA said:

Kukosekana au huduma mbovu ya umeme Tanzania inatufanya watanzania tuwe na mashaka ya jina la shirika la umeme Tanzania,kama kweli hili lipo kwa ajili ya kutoa huduma nzuri ya Umeme kwa wa-Tanzania kusingelikuwepo ukosefu wa umeme wa kila wakati na huduma mbovu,na tusingepata hasara kwa kuuguziwa vifaa vyetu.

Kwa mantiki hiyo tunamashaka na jina hili "Tanzania Electric Supply Company" (TANESCO), hili ni jina la kuchakachua.Jina sahihi la shirika hili ni hili hapa:

"Tanzania Electric Crisis Company" (TANECCO ).

KAMPUNI YA MGOGORO WA UMEME TANZANIA.

Au kama sio jina hilo basi litakuwa jina hili:

"Tanzania Electric Decay Company" (TANEDCO).

KAMPUNI YA UOZO WA UMEME TANZANIA.

Watanzania tunamashaka na kale kaneno ka SUPPLY kanakopatikana katika neno TANESCO, mi nadhani kameingizwa ingizwa tu kifujo fujo.

Duh! Hayo majina mliotoa karibu yote yanafaa hasa hiyo ya KAKUVIWATA

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*