Tulonge

Kutokana na utendaji kazi mbovu wa TANESCO.Unadhani ni jina gani linalofaa kulibatiza shirika hili?

Mimi nimechoshwa sana na utendaji kazi mbovu wa Tanesco ambao unatupelekea kukosa umeme kila wakati. Vile vile kutuunguzia vyombo vyetu kila mara pasipo kutulipa wala nini. Hebu libatize jina litakalo lifaa shirika hili kutokana na utendaji wake mbovu wa kazi.

Views: 939

Reply to This

Replies to This Discussion

Hahaahahaaaaa hao TANESCO wakipita hapa wanaweza wakaua mtu

SASA MI NAONA TUCHAGUE JINA MOJA AMBALO TULIPENDEKEZE IKIWEZEKANA LIPELEKWE BUNGENI WAKALIJADILI,

MIMI NITACHAGUA MAWILI JAPO NILICHAGUA LANKWANGU LKN LAKWANGU NI LA KICHINA, NACHAGUA, (KAKUVIWATA) NA (TANECCO)

Nimepita kujikumbusha majina haya teh teh teh

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*