Tulonge

Kwa nini ni halali kwa muisilamu kuchinja kuku, na si halali kwa mkristu kuchinja kuku huyohuyo?

Point yangu ni kwamba; kuku akichinjwa na muisilamu mkristu anakula, lakini kuku huyohuoy akichinjwa na mkristu--muisilamu hali kwa madai kuwa ni haramu. Kwa nini?

Wakati ukijadili hilo, tembelea na hiyo link hapo chini.

http://www.faithfreedom.org/the-challenge/muhammad-the-rapist/

Views: 2043

Reply to This

Replies to This Discussion

Mh! Jamani tuwe makini na hii mijadala aka ijitimai. Maana hiyo link mhhhhh. Naomba nisiendelee kusema. Tuwe tu makini.

Amani ya Bwana itawale.

PamoJah

Heri ya mwaka mpya Cha the Great!

@Cha the Great.....hilo jina lako mbona unalipotosha katika comments zako mkuu?

Sidhani kama mtu yoyote mwenye jina kama hili lako "THE GREAT" ataogopa kutoa maoni yake katika issue yoyote inayotolewa humu!

Hiyo link inaonyesha ni ya ki-demokrasia, maana yenyewe inajieleza kwamba ni FAITH-FREEDOM.

"Freedom of speech" inaelekea ni mwongozo wao katika mada hii.

Kwa hiyo, kwa maoni yangu sioni kama kuna utata katika link hii iliyotolewa.

Ni uamuzi wa mtu kusema au kutosema anavyofikiria.

PAMOJAH!

Asante Eddie kwa maoni. Maadili ya taaluma yangu yanafanya niseme hivyo nilivyosema. But I'm still and I will be the GREAT 4ever.

PamoJah

na heri ya mwaka mpya!

Nitarudi sasa hv kuchangia, ngoja nikanywe maji kwanza...

Ni ubaguzi tu...bona sisi sote ni binadamu tu! Haramu haramu...maana yake nini, mkristu sio binadamu?

kama mimi huwa nachinja kama kawaida atakaetaka kula ale atakae kataa kula achinje wake yeye mwenyewe ale, kwangu mimi najua kiingiacho si haramu, ila ki,,,,,,,,,,,,,,,,,,,karibuni, kwangu

Hahahahahah Bonielly umepiga shotkati hutaki maneno mengi

Haya mambo ya udini ni mapana sana wala hatuyawezi hebu tuyaache kama yalivyo me leo kikuta kitu cha ugali na paja kwa Dismas siulizi kachinja nani?! me nakandamiza tu wala hatuna hayo so hiyo inaonesha TZ hatuna udini na upite pembeni mbali kabisa maana unaleta chuki mbaya na hata hiki kijiji kisingekuwepo hii leo

ila tumshukuru MUUMBA kwa hivi tulivyo hebu basi kila m2 abaki kuamini anachokiamini iwe mti simba tembo chochote atakachokiamini kuwa kitamfikasha mbinguni na kukaa peponi ningeomba tusijihusishe sana na mijadala kama hii sio mizuri saana kwa hata huko kwa wenzetu vilianza vijichokochoko kama hivi leo hakutoshi

kila m2 anatafuta pakukimbilia jamani achaneni na haya mambo sisi hatuyawezi mababu wameyaacha.

kaka ommy we together, tuyaache kijiji chetu kinaamani tumeingia 2012, mungu katulinda tumefika hapa kinachotakiwa tufanye nini ili tufike pale,

Haswaa hayo ndio yakuwaza maana 2napaswa kupiga hatuwa tukiwaza sijui kuchinja kuku nani? kala nani? hakula! hayatatusaidia kitu tunaingia mahotel mangapi?! na tunakula kuku sekera makolokolo kibao mpaka vibudu watu wanalishwa ila kwavile hujaona wala kuthibitisha kama kweli ni kibudu au mzoga nani kachinja uhalali wake na uhalamu wake unakula na haudhuliki kikubwa taja jina la MUNGU kabla ya kula ila ukitaka aliechinja unatafuta lawama watu wachukiane bila 7bu za msingi HAKUNAGA hiyo kitu hatuitaki kijijini kwetu.

kuchinja ni kuchinja tu alimradi damu imetoka, tena siku hizi teknlojia imekuwa, watu wanachinja kwa mashine. huyo anaetafuta uhalali wa mchinjaji hana njaa KASHIBA huyo

Mkuu Chaoga umenena kabisa....nakuunga mkono na miguu yote.

Mh! aya.

BARAKA FRANCO CHIBIRITI said:

Ni ubaguzi tu...bona sisi sote ni binadamu tu! Haramu haramu...maana yake nini, mkristu sio binadamu?

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*