Tulonge

Kwa nini ni halali kwa muisilamu kuchinja kuku, na si halali kwa mkristu kuchinja kuku huyohuyo?

Point yangu ni kwamba; kuku akichinjwa na muisilamu mkristu anakula, lakini kuku huyohuoy akichinjwa na mkristu--muisilamu hali kwa madai kuwa ni haramu. Kwa nini?

Wakati ukijadili hilo, tembelea na hiyo link hapo chini.

http://www.faithfreedom.org/the-challenge/muhammad-the-rapist/

Views: 2052

Reply to This

Replies to This Discussion

Halafu tuwekane wazi hapa:Sio kuwekana wazi maana hiyo ndio maana ya Tulonge.

Sio kila mada ya kijamii iletwe humu Tulonge,kuna mada za kuleta hapa,mada zingine tuzipeleke sehemu husika.

Hapa tuzungumze mambo yetu ya jamii yenye kutuweka pamoja na sio kutugawa,mada kama hizi ikiwa zitasaidia sana kupanua machuki na sisi humu tulonge hatulengi machuki,maana nikisoma maelezo ya Tulonge malengo yake naona kumbe Tulonge ina nia ya kuwaunganisha wabongo kuwa kitu kimoja popote walipo Duniani kwa kulonga na kupashana mahabari mazuri mazuri na mafoto ya ukweli,na masalamu mazito mazito ,sio mambo yanayohusiana na dini,mambo hayo inaonekana Dismas dereva wa Tulonge hayayakududia alipoanzisha Tulonga,hivi ndivyo nilivyo mfahamu mimi.

So mijadala kama hiyo pliz usilete hapa ukileta mimi nitaandamana maandamano ya amani hata kama nikipigwa marungu.

Sijui nyie mnaolalamika, kuku wako unamlalamikia muislam, wakati unanunua alikusaidia , wacha ushamba nunua kuku toka nae nje chinja uone km m2 atakuuliza? akikataakula fresh hujamnunulia yeye umenunua kwa ajili yako.

 

tusahau 2011 tusonge 2012           1, people,  

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*