Kwani wewe kwa nini huwa unafumba. Ukijua sababu ya wewe kufumba ujue na wengine wanafumba kwa sababu hiyo hiyo. Kwanza mimi huwa sikumbatiani na mtu, sijui lolote juu hilo. Acha kunikuza mtoto wa watu hahahaahaaaaaaa.
Kwani umesha muuliza mkeo?nadhani atakuwa na jibu zuri sana.
Sina mke sina sina yeyote wakumuuliza ila niliwahi kuwaona wa2 kadhaa wakifanya hivyo bila kupata jibu nikaona niiweke wazi mnipatie jibu vp ww umeshamuuliza shemeji? akakupa jibu?.
Ni utamaduni tu.
Kwetu hapa Tanzania mapenzi ni siri sana hayako wanzi kama wengine.
HII NI AIBU, KWANI WENGI HUWA HAWAKO TAYARI KUMFANYA MTU AJUE
KUWA ANAJUA KUFANYA KITU KILE HIVYO HUWA NA AIBU ILA KWANGU SIONI
SABABU KWANI KAMA UNATAKA KUJUA NI KWELI UNATAKIWA KUSHUHUDIA TENDO ZIMA
MAANA UNAWEZA KUTA UKO PEMBENI.
JARIBUNI KUSHUHUDIA MATENDA MWANZO HADI MWISHO MTAONA RAHA YAKE.
NIKADALILI KA UONGO ILA UKIWA TAYARI NI MKWELI HUTAFUMBA MACHO TENA
hapa pana usiri sana kweli si wote lakini kuna raha zingine hazipatiakni lazima uvute hisia fulani kua upo wapi na unafanya nini mapenzi ni kidonda tena kisicho na harufu na hata kikinuka jua harufu yake hupendeza kwa wale wapendao na kufumba macho sio aibu bali ni hisia fulani kwa baadhi ya watu huwa hivyo yaani kama unatulia na kwa matazamo wa haraka kufumba macho ni kuleta hisia fulani huwenda yule bibi hayupo mawazoni mwako unavuta za mwingine mradi utimize penzi ua yule bibi hayuko na wewe mda ule kuna mtu anampa mambo zaidi ukichunguza mapenzi utajitia wazimu kwani kila siku ujue achekae bila sababu jua ana jino la dhahahu na aulizae swali jua anayafanya au anafanyiwa