Tulonge

Kwa nini? wa2 hufumba macho wanapokumbatiana na kupeana kiss?

Jamani kuna jambo mpaka leo sijalipati jibu
Kwanini? watu wanafumba macho wanapo kumbatiana na kupeana kiss?.

Views: 2021

Reply to This

Replies to This Discussion

Wanasikilizia UTAMU. Huwezi kusikilizia utamu huku umefumbua macho. Wewe huoninagi hata mtu akilia muwa muda mwingi anafumba macho kwa utamu.
Hakuna lolote,wanaona aibu tu.
Kwani wewe kwa nini huwa unafumba. Ukijua sababu ya wewe kufumba ujue na wengine wanafumba kwa sababu hiyo hiyo. Kwanza mimi huwa sikumbatiani na mtu, sijui lolote juu hilo. Acha kunikuza mtoto wa watu hahahaahaaaaaaa.
Dis unajitoa katika wa2 wanaokumbatiwa wakati ww ulivyo H. B vibint vinapenda sana kukukumbatia
lol.
Kwani umesha muuliza mkeo?nadhani atakuwa na jibu zuri sana.
Belita said:
Kwani umesha muuliza mkeo?nadhani atakuwa na jibu zuri sana.

Sina mke sina sina yeyote wakumuuliza ila niliwahi kuwaona wa2 kadhaa wakifanya hivyo bila kupata jibu nikaona niiweke wazi mnipatie jibu vp ww umeshamuuliza shemeji? akakupa jibu?.
Naona kwa sababu ya hisia(feeling)
sio wote wanaofumba macho inategemea ni tabia ya mtu tu au wengine ni kwa sababu ya kuona aibu

Belita said:
Kwani umesha muuliza mkeo?nadhani atakuwa na jibu zuri sana.
Ni utamaduni tu.
Kwetu hapa Tanzania mapenzi ni siri sana hayako wanzi kama wengine.
HII NI AIBU, KWANI WENGI HUWA HAWAKO TAYARI KUMFANYA MTU AJUE
KUWA ANAJUA KUFANYA KITU KILE HIVYO HUWA NA AIBU ILA KWANGU SIONI
SABABU KWANI KAMA UNATAKA KUJUA NI KWELI UNATAKIWA KUSHUHUDIA TENDO ZIMA
MAANA UNAWEZA KUTA UKO PEMBENI.
JARIBUNI KUSHUHUDIA MATENDA MWANZO HADI MWISHO MTAONA RAHA YAKE.
NIKADALILI KA UONGO ILA UKIWA TAYARI NI MKWELI HUTAFUMBA MACHO TENA
hapa pana usiri sana kweli si wote lakini kuna raha zingine hazipatiakni lazima uvute hisia fulani kua upo wapi na unafanya nini mapenzi ni kidonda tena kisicho na harufu na hata kikinuka jua harufu yake hupendeza kwa wale wapendao na kufumba macho sio aibu bali ni hisia fulani kwa baadhi ya watu huwa hivyo yaani kama unatulia na kwa matazamo wa haraka kufumba macho ni kuleta hisia fulani huwenda yule bibi hayupo mawazoni mwako unavuta za mwingine mradi utimize penzi ua yule bibi hayuko na wewe mda ule kuna mtu anampa mambo zaidi ukichunguza mapenzi utajitia wazimu kwani kila siku ujue achekae bila sababu jua ana jino la dhahahu na aulizae swali jua anayafanya au anafanyiwa
mi huwa naangalia so sijui wenzangu ni aibu au nini?watusaidie wanaofumba macho basi
nafikiri ni feelings zilizondani ya kila mmoja

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*