Tulonge

Kwa nini? wa2 hufumba macho wanapokumbatiana na kupeana kiss?

Jamani kuna jambo mpaka leo sijalipati jibu
Kwanini? watu wanafumba macho wanapo kumbatiana na kupeana kiss?.

Views: 2015

Reply to This

Replies to This Discussion

Haaaa! Kumbe kulia pia kuna utamu????????

Diana said:
Wanasikilizia UTAMU. Huwezi kusikilizia utamu huku umefumbua macho. Wewe huoninagi hata mtu akilia muwa muda mwingi anafumba macho kwa utamu.
Hhahahahahahah Alfan ulikuwa hujui kuwa kuna machozi ya furaha na machozi ya utamu bt haya ya utamu
huwa yanatokaga pembeni mwa macho halafu yanakuwa membambaa meupeee lol.


Belita said:
Kwani umesha muuliza mkeo?nadhani atakuwa na jibu zuri sana.
Sina mke wa kumuulizia pls nisaidie kujibu.


LATIFA MOHAMMED said:


Belita said:
Kwani umesha muuliza mkeo?nadhani atakuwa na jibu zuri sana.
ukiwa umefumba unapata hisia nzuri kulikoni ukiwa unaona je kitu kikipita mbele yako kikakudisturb huoni kitakuwa kimeharibu utaratibu mzima wa mambo yetu yaleeeeeee.
Agnes kumbe ukiwa ktk mambo ye2 yaleeeeee lazima ufumbe macho ili usipotezeee?!
unataka kuniambia ukifumbuwa macho zitaruka?
yeya kaka omy habari ndo hiyo ukifumbua tu macho umepoteza, na kuirudisha tena itakugharimu

We siunamiaka chini ya kumi na nane? Umeyapata wapi yakukumbatiana? Au hiyo picha ni utoto wako?

Hili swali nilikuwa sijaliona ,haya ndio maswali yangu mimi.

Naweza kujibu kuwa hiyo ni aina moja wapo ya kusindika utamu,sorry Raha.

Iko wazi kwamba Kiss imeumbwa ikiwa na Raha,nikimaanisha Kiss ina supply raha kupita maelezo.Unapobahatika kupokea kiss kutoka kwa mpenzio basi huwa kuna aina inayotakiwa uiapply katika mapokezi hayo ya Kiss.Usipokee pokee Kiss ukiwa umetoa mijicho,inabidi uonekane katika mazingira ya kufumba kidogo macho ikiwa ni ishara ya kuvuta feeling na kuthamini kiss ile.Hapo utakuwa umeitendea haki kiss.

 

Na haitakiwi kuoenakana ati kufumba macho ni aibu,sio aibu ndugu,na hata kama ni aibu bado si mbaya maana kwenye mapenzi pia aibu inaweza ikawa ni njia moja wapo ya kunogesha mapenzi maana wengine husema kwamba mapenzi yasiyokuwa na aibu yanaweza kukumbana na upungufu wa kinga mapenzini,nikimaanisha yanaweza kuwa hatarini kutoweka.Aibu katika mapenzi hulinda mapenzi na humfanya mwezio ahisi unaadabu,unavutia na unafaa.Sio siku zote unaonyesha ukakamavu kwenye mapenzi hata saa zile.!! usilete uanajeshi kwenye mapenzi utaharibu .

KUFUMBA MACHO NI NAMNA YA KUVUTA HISIA ZA NDANI NA KUSIKILIZIA KWA KARIBU KILE AMBACHO KIMEKUFANYA UFUMBE MACHO, HIVYO KUVUMBA MACHO WAKATI WA KUKISS NI NAMNA YA KUVUTA HISIA ZA NDANI ZAIDI ILI KUFURAHIA KITENDO CHENYEWE. (KUBUSIANA) HASWAA KAMA MNABUSIANA AU KUKUMBATIANA   KIMAPENZI.

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*