Tulonge

NA JE HIVI KWANINI MTU ANAPO TAKA KUFIKIA KILELENI HUWA ANAFUMBA MACHO IMEKUA NI MARA NYINGI MTU ANAPOKUA ANAFANYA TENDO LA NDOA HUFUMBA MACHO AU HULIA PALE ANAPO TAKA KUFUNGA BAO AU KUFUNGWA JE NI KWANINI..................

Views: 4063

Reply to This

Replies to This Discussion

Mmmh, mimi cjawahi kulia, labda nikamuulize kwanin analiaga.

Inaeza ikawa labda ni hisia(highest emotional) but sometime tunaeza tukawa  tunaibiwa bila kujijua

Duuh hii kali mwanangu!

Kwa mawazo yangu kuna sababau kuu mbili:

Kwanza kabisa tendo la ndoa lina starehe yake na ni raha ya kufa mtu na lina hisia kali ambayo huwezi linganisha na kitu chochote. Kusema ukweli unapofanya tendo la ndoa unahitaji utulivu wa hali ya juu sana  na pia  linavuta hisia za mbali sana na  ili kuzipata vizuri inabidi ufumbe macho kwani ukifumba macho utapata raha ya ajabu hasa pale unakumbukia mambo yaliyopita kama vile unapokuwa usingizini unapata kumbukumbu nzuri.

Pili baadhi ya wadada ni matapeli tu kwani hulia kinafiki ili wakuibie, Utakuta mdada yaani ukimlamba chuchu tu anapiga ukelele wa kufa mtu hapo bado hujamuingilia kimwili. ukiona hivyo kuwa mwangalifu sana jua unajengewa mazingira ya kuibiwa mtu wangu chunga sana!

HAhahahaahahahaaahahaha!

Julius Mwanakijiji said:

unajuwa unapokua katika zile khabari mambo yote yanapatikana pale uwa zipo tofauti kwa kila mtu ila raha inakuwa ileile mwengine anafumba macho ili hisia zije kwa utulivu zaidi mwengine anapopiga kelele ujuwe uzalendo umemshinda kwani ukelele sio wasichana tu wanao piga kelele hata wavulana nao pale bao linapokalibia kutoka au wazungu wanashuka basi pale ndio kwa mwanamke mjanja ndio anapokuibia na ndipo anapokukamata unajuwa mwanamke ana mbinu nyingi za kukuteka wewe mwanaume ili uwe chini yake analotaka yeye ndio hilo wakatika wa kukojoa ujuwe uso unabadilika kwaiyo anapokutazama anakukata stim anakuchomoa katika mashine kisha anakuliza vipi kuhusu zile sale nilizo kwambia nataka laki mbili mana sherehe ya ngoma shoga angu imekalibia wewe nakuona kimya vipi wewe tena usiwe na wapi honey chukuwa kwenye pochi unaludi tena uwanjani mara tena unakuliza vipi uliniahidi nyumba yako ile ya ilala utaniandikia mimi vipi naona kimya usiwe na shaka mambo yote yatakuwa sawa kesho tu kisha sasa ndio anakuwachia mashine uwendelee sasa kuna hawa wasichana wenda lesi wanajifanya ukingiza paipu kidogo tu ananza kelele kama kimeingia kichwa cha mbuzi kumbe ana lolote anakuibia tu wakati wewe mwenyewe unavyo ingiza breki kiuno isingekuwa kiuno ingekuwaje sasa ujuwe huyo mwanamke anataka akupige chenga za mwili jiangalie mtu wangu unaweza ukajitaha hata nauli miambili na hamsini ukawa huna siku hiyo amechukuwa zote
Ngoja nikajaribu nione kama nitafunga macho.

Hahahahahahaahahahaha...twehtehyetehetehetehetehetee..Duh mkuu umenivunja mbavu sana!

No coment!

abdulrahamani said:

Du!! mi sijui, ngoja nijaribu kwanza nitakwambia.....
Hahahahaahaa wewe James hizo bangi za Moro zinakupeleka pabaya.

jangonyani said:
Du!! mi sijui, ngoja nijaribu kwanza nitakwambia.....
kwa utamu na raha

duuu babu hii ni balaaa uko juu babuAlfan Mlali said:

Hahahahahahaahahahaha...twehtehyetehetehetehetehetee..Duh mkuu umenivunja mbavu sana!

No coment!

abdulrahamani said:

unajuwa unapokua katika zile khabari mambo yote yanapatikana pale uwa zipo tofauti kwa kila mtu ila raha inakuwa ileile mwengine anafumba macho ili hisia zije kwa utulivu zaidi mwengine anapopiga kelele ujuwe uzalendo umemshinda kwani ukelele sio wasichana tu wanao piga kelele hata wavulana nao pale bao linapokalibia kutoka au wazungu wanashuka basi pale ndio kwa mwanamke mjanja ndio anapokuibia na ndipo anapokukamata unajuwa mwanamke ana mbinu nyingi za kukuteka wewe mwanaume ili uwe chini yake analotaka yeye ndio hilo wakatika wa kukojoa ujuwe uso unabadilika kwaiyo anapokutazama anakukata stim anakuchomoa katika mashine kisha anakuliza vipi kuhusu zile sale nilizo kwambia nataka laki mbili mana sherehe ya ngoma shoga angu imekalibia wewe nakuona kimya vipi wewe tena usiwe na wapi honey chukuwa kwenye pochi unaludi tena uwanjani mara tena unakuliza vipi uliniahidi nyumba yako ile ya ilala utaniandikia mimi vipi naona kimya usiwe na shaka mambo yote yatakuwa sawa kesho tu kisha sasa ndio anakuwachia mashine uwendelee sasa kuna hawa wasichana wenda lesi wanajifanya ukingiza paipu kidogo tu ananza kelele kama kimeingia kichwa cha mbuzi kumbe ana lolote anakuibia tu wakati wewe mwenyewe unavyo ingiza breki kiuno isingekuwa kiuno ingekuwaje sasa ujuwe huyo mwanamke anataka akupige chenga za mwili jiangalie mtu wangu unaweza ukajitaha hata nauli miambili na hamsini ukawa huna siku hiyo amechukuwa zote
Njoo nikufanyishe experiment halafu utajua mbivu na mbichi.

Moreen said:
Mimi sijawahi hivyo sijui lolote
Hahahahaaa kwani wewe huwa unalia?

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*