Tulonge

NA JE HIVI KWANINI MTU ANAPO TAKA KUFIKIA KILELENI HUWA ANAFUMBA MACHO IMEKUA NI MARA NYINGI MTU ANAPOKUA ANAFANYA TENDO LA NDOA HUFUMBA MACHO AU HULIA PALE ANAPO TAKA KUFUNGA BAO AU KUFUNGWA JE NI KWANINI..................

Views: 4154

Reply to This

Replies to This Discussion

Maswali mengine bwana! Hii ni sawa na kuuliza kwa nini mtu huitaji chakula anapokuwa na njaa! Anyway, freedom of expression, siwezi kukuzuia.

PamoJah
Mmh!
Ni kupata hisia za ndani zaidi ya moyo na nafsi.
Ni kitu cha emotional zaidi na si cha kujifanyisha.
ngoja nikajaribu nione kama ntafunga macho!!!
Hahahaaaa u must be crazy

kisu said:
ngoja nikajaribu nione kama ntafunga macho!!!
no comment
Kaazi kwey kwey! Mimi huwa nakodoa macho zaidi sasa sijui mnaofumba macho huwa mnaogoap nini??/
tehtehteheteheteheteh!
Mimi sijawahi hivyo sijui lolote
HAHAHAHAAAA Moreen sema ukweli tu jamani
kama wewe hujawi basisi wote hatujawahi

Moreen said:
Mimi sijawahi hivyo sijui lolote
Ndio utamu unapo mtuma huko .....
hivi mpeni umefikiria nn hasampaka ukaandika hivi?

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*