Tulonge

NA JE HIVI KWANINI MTU ANAPO TAKA KUFIKIA KILELENI HUWA ANAFUMBA MACHO IMEKUA NI MARA NYINGI MTU ANAPOKUA ANAFANYA TENDO LA NDOA HUFUMBA MACHO AU HULIA PALE ANAPO TAKA KUFUNGA BAO AU KUFUNGWA JE NI KWANINI..................

Views: 4070

Reply to This

Replies to This Discussion

MLIOCHANGIA MADA WOTE MMENIVUNJA MBAVU ZANGU, BINAFSI NI SIRI YANGU NA MWENZANGU
Moreen inaelekea wewe hujawahi fika kileleni! kuwa hujui chochote
Hahahahhahahahaaaaaa sikuwa nimeona huu mjadala, wewe kaka inaelekea huwa unalia sana ukifika kileleni.

unajua shostito nikwambie unapotaka kufika kileleni huwa kunautamu fulanifulani ambao huwezi kuuhadithia, sasa basi kila mwanadamu yoyote anastahili yake kuna mtu akitaka kufanya mambo anamtukana mama yake au baba yake mwingine analia mwingine anafumba macho mwingine anatonga kama mwanamke mwingine anasema(anaweza akasema ilove you mpaka mate yakakauka ) kwahiyo sio wote labda wewe ndio stahili yako lakini mimi kiuno ndio kinaongeza spidi na mabusu teleeeeeeeeeeeeeeeeee

heeeeeeeeeeeeee ni roho ngumu.

wanawake wa TZ, nyinyi ni mwanzo mwisho. Bila shaka mambo haya mwayajua sanaaaaa. Njooni huku kwetu mtupe raha......
wanawake wa TZ, nyinyi ni mwanzo mwisho. Bila shaka mambo haya mwayajua sanaaaaa. Njooni huku kwetu mtupe raha......
kwahiyo kaka stephen wewe hujawahi kupata raha kama izo pole sana ndio maana m/mungu akashusha gharika ya moyo(ukimwi) kwasababu alijua patakuwa hapatoshi unaweza ukahisi hakuna kufa kumbe zamu yako haijafika ni noma aisee haraka katafute mtz akupe mavituzi sijui na wewe utalia au utafumba mambo, mmm utanipa matokeo aaaaaaah.
Farida maneno yako yanaukweli ndani yake, speed ya 120 unapofikia kileleni  ww kweli ni  mwanamke wa kitanzania.

Farida Adam said:

unajua shostito nikwambie unapotaka kufika kileleni huwa kunautamu fulanifulani ambao huwezi kuuhadithia, sasa basi kila mwanadamu yoyote anastahili yake kuna mtu akitaka kufanya mambo anamtukana mama yake au baba yake mwingine analia mwingine anafumba macho mwingine anatonga kama mwanamke mwingine anasema(anaweza akasema ilove you mpaka mate yakakauka ) kwahiyo sio wote labda wewe ndio stahili yako lakini mimi kiuno ndio kinaongeza spidi na mabusu teleeeeeeeeeeeeeeeeee

heeeeeeeeeeeeee ni roho ngumu.

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*