Tulonge

KUNA KABINT KAMOJA KILA SIKU HUPENDA KUPITA NJIA WANAOKAA WAHUNI WA VUTA BANGI NA UNGA SIKU MOJA WAKATI ANARUDI DUKANI WALE WAHUNI WAKAMSIMAMISHA NA KUMWABIA EWE KABINT WE KADOGO SANA HEBU PANDA FASTA JUU YA HUU MPERA TUCHUMIE MAPERA YULE KABINT KAKAFANYA KAMA ALIVYOAMRISHWA BAADA KUSHKUKA WAKAMRUHUSU AONDOKE YULE KABINT KUFIKA HOME AKAMWELEZA MAMA YAKE LEO NIMEPITA PALE KWA WALE WAHUNI LEO WAMENISIMAMISHA MAMA AKASITUKA EHH MWANANGU WAMEKUFANYA NINI MTOTO AKAJIBU HAWAKUNIFANYA KITU ILA WALINAMBIA NIPANDE JUU NIWACHUMIE MAPERA MAMA MTU AH MWANANGU WAJINGA WALE WALITAKA KUKUCHUNGULIA KICHUPI TU MTOTO AJIBU MAMA ULIFIKIRI NA MIE MJINGA NILIJUA KABLA SJIPANDA NA MIE NILIVUA KACHUPI CHANGU KWANZA MAMA KABAKI MDOMO WAZI

Views: 253

Reply to This

Replies to This Discussion

kaka umeitoa wapi hii?kweli kali duuuh
Teh teh teh kwa hiyo waliona nn Mwinyi kama na ch.. alivua.
Hahahaaa katoto kachizi kweli hako
Hahahahahaahahahaha!Mbavu zangu........!

Reply to Discussion

RSS

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*