Tulonge

Napenda kuchukua nafasi hii kuwaatarifu wadau wote kuwa Mama Malaika ametua Bongo toka UK. Angependa kukutana na wadau wote kijiji cha Makumbusho tarehe 19/06/2011 (Jumapili) saa 9 mchana. Wasiliana naye kwa namba 0785 589637

Views: 503

Reply to This

Replies to This Discussion

Asante kwa taarifa Omari, itabidi tuwe pa1 siku hiyo.
Da upendo wa dhati  kutoka kwa mama malaika kuja kutucheki wadau wa tulonge,natamani nami ningekuwa na nafasi nikutane na wadau mbalimbali wa tulonge siku hiyo lkn kutokana na ufinyu wa nafasi naomba radhi sitakuwepo lkn natumai mengi yatakayo jadiliwa nasi wa mikoani tutafahamishwa.Karibu sana mama malaika bongo land najua utapita Iringa kuelekea Mbeya kuwaona ndugu na jamaaa zako hivyo ukipita tunakukaribisha sanaaaaaaaaaaa.Thanks Omary kwa taarifa wadau tumeipokea kaka
karibu mama Malaika tumefurahi sana kupata taarifa kuwa ametua Dar anataka kukutana na wanatulonge nami nitajitahidi kuwepo!

Pls Dada Agnes karibu tufahamiane.

Kaka Riziki shaka towa nitajitahidi niwezavyo siku tukiwa na Mama pale kijiji cha makumbusho tuwe na online kama kutakuwa na maswali kuchangia mawazo yoyote yakufanya  kijiji chetu kiendelee kisiishie hapa au kuulizana maswali

tunahitaji mchango mkubwa sana wa mawazo yatakayofanya kijiji kiwe na muonekano mwengine haimae aje atoke mbunge ndani ya kijiji hiki Inshaallah.

kaka omar ckuweza kufika kwa kweli nilikuwa katika kikao cha wanafamilia, kama wiki mbili zilizopita nilifiwa na dadaangu jana tukaitwa wote kwake na marehemu huko makongo juu ikawa ngumu kwangu kuja si mbaya wote mliofika mlituwakilisha.
Hakuna shida Dada Agnes tupo pamojah jana tuliweza kukutana japo c wengi but tulikuwa kama wengi kwa furaha mliokosa kuja tuliwawakilisha vema, inshaallah siku nyengine tutaungana.
ok kaka Omary

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*