Habari wana wa TULONGE?
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Napenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha tu kuwa kuna mambo mazuri na makubwa yanakuja hapa TULONGE. Kama kawaida yangu huwa nikiahidi, lazima nitekeleze. Unachotakiwa kufanya, ni kutembelea TULONGE mara nyingi uwezavyo, changia mijadala mara nyingi uwezavyo, up-load mapicha, ma-video na kadhalika, alika wadau wengi uwezavyo.
CHA nimesema mambo mazuri na makubwa yanakuja , trust ME. KAZI NI KWAKO.
Unaweza vilevile kuniachia namba yako ya simu hapa hapa.
Tags:
Ha ha ha ha ha ha ha ha.......Tulonge itakuwa kaenda kujiandaa na kugombea Ubunge kwao. Maana Tanzania siku hizi kila mtu anataaka kuwa mwanasiasa.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by