Tulonge

Binadamu ameumbwa na Mwenyezi Mungu (Yehova) mwili wake ukiwa na uwezo wa kupambana na magonjwa mbalimbali. Lakini kutokana na sababu mbalimbali, afya huzorota, kinga inashuka na magonjwa mbalimbali kushambulia. 

Unapokunywa Vemma Mangosteen, chembe chembe za mwili hufanywa upya na kuimarishwa kuwa na uwezo mkubwa wa kupapambana na maradhi. Ndio maana, japo haikutengenezwa kuwa dawa, ni LISHE, lakini inakuwezesha kupona magonjwa. 

Pia kutokana na vyakula duni tunavyokula, k.m. tunakoboa mahindi badala ya kula dona, tunapika mboga za majani mpaka vitamini zinakwisha, tunakunywa maji chini ya lita 3 kwa siku, tunakula vyakula vilivyorutubishwa kwa mbolea za kisasa,n.k.  Tunavuta hewa chafu, ina moshi wa magari, moshi wa viwanda, tunakumbana na mionzi  ya satelaiti, ya simu , televisheni, kompyuta, na ya jua. Tuna mikazo mingi ya akili kutokana na makali ya maisha, kutokulala usingizi wa kutosha, minyanyaso, dhuluma, n.k. Sote tunahitaji Vemma. Nguo hufuliwa kwa sabuni, mwili unaoshwa kwa Vemma. Karibuni sana!

Views: 582

Replies to This Discussion

Wadau watakupataje?

Napatikana kwa namba hizi: 0713 520106 au 0754 264906 au 0787 264906 au 0774 520106. Karibuni sana. pia email yangu hellenmzengi@hotmail.com Ukishatuma email nitaarifu kwa sms. Asanteni sana, karibuni sana pia.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*