Tulonge

Jamaa mmoja alikuwa anampenda mkewe sana, lakini mke akatoka nje ya ndoa akapata katoto.

Jamaa kwa kumpenda mkewe hakumfukuza ila alitafuta mbinu za kukaua katoto.

Usiku wakati wamelala akachukuwa dawa ya panya akapaa matiti ya mkewe ili mtoto akinyonya afe maana sio wa kwake. Asubuhi akaondoka kwenda kazini. Mida ya mhana akapigiwa simu, Njoo haraka kuna msiba nyumbani, jamaa akjua katoto kamekufa, alipofika nyumbani

akakuta aliekufa ni Mdogoake wa kiume aliekuwa anakaa nae! swali alinyonya MAZIWA YA MAMA? badala ya mtoto

Views: 1146

Reply to This

Replies to This Discussion

ha ha haa ha ahaa,hapo ndio jamaa ajuwe kuwa kizuri anakula na mdogo wake.ha haaa

Teh teh teh teh kazi ya kujifanya anajua romance, sasa kifo kimemkuta kazi ya kumyonya mke wa mtu maziwa.

Boomerang!!

Swadaktaaaaaaaaa, kizuri tule wote kaka, kibaya kula mwenyewe, safi sana dogo ila salimia huko ulikokwenda!!!!

Dang!!! Siajabu hata huyo mtoto alikuwa ni wa huyo mdogo wake aliyefariki.

mmhhhhh..Huu ni uongo aisee..Ina maana huyo mwanamke haogagi???

Alfan huyu dada hajaoga maana bro alivyoondoka tu dogo kazama kwa shemeji ileile asubuhi sasa shemeji kaoga saa ngapi? inawezekana masawe alikula chakula ya mtoto karoho kakaacha mwili lol.

Ila huyo mwanamke naye Chiboko amelala usiku na mumewe asubuhi anamwingiza shem chumbani bila kuoga wala kupiga mswaki!!!! za mwizi ni 39 hiyo ilikua 40, roho ikatenganishwa na mwili @ Omary!

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*