Jamaa mmoja alikuwa anampenda mkewe sana, lakini mke akatoka nje ya ndoa akapata katoto.
Jamaa kwa kumpenda mkewe hakumfukuza ila alitafuta mbinu za kukaua katoto.
Usiku wakati wamelala akachukuwa dawa ya panya akapaa matiti ya mkewe ili mtoto akinyonya afe maana sio wa kwake. Asubuhi akaondoka kwenda kazini. Mida ya mhana akapigiwa simu, Njoo haraka kuna msiba nyumbani, jamaa akjua katoto kamekufa, alipofika nyumbani
akakuta aliekufa ni Mdogoake wa kiume aliekuwa anakaa nae! swali alinyonya MAZIWA YA MAMA? badala ya mtoto
Tags:
ha ha haa ha ahaa,hapo ndio jamaa ajuwe kuwa kizuri anakula na mdogo wake.ha haaa
Teh teh teh teh kazi ya kujifanya anajua romance, sasa kifo kimemkuta kazi ya kumyonya mke wa mtu maziwa.
Swadaktaaaaaaaaa, kizuri tule wote kaka, kibaya kula mwenyewe, safi sana dogo ila salimia huko ulikokwenda!!!!
Dang!!! Siajabu hata huyo mtoto alikuwa ni wa huyo mdogo wake aliyefariki.
mmhhhhh..Huu ni uongo aisee..Ina maana huyo mwanamke haogagi???
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by