Tulonge

jamani kaka zangu na dada zangu hivi hili swala la hawa mashoga (wanaume) nyie mnalionaje? hivi kweli waingizwe kwenye katiba na watambulike katika jamii haya kweli ni maadili ya mtanzania?

Views: 759

Reply to This

Replies to This Discussion

Hao wajinga wapotelee mbali huko. Kuwaingiza ktk katiba ni sawa na kwenda kinyume Mtakwa ya Mungu. Hakuna haja ya kujiongezea dhambi, zinazowezekana kuepuka kirahisi tuziepuke jamani.

Msimamo wa NCHI ndio la msingi.

 

Kuna mangapi ambayo hayaendani na maadili yetu kwa kuogopa kwetu kukosa misaada hujitumbukiza na hili likija kuna hatari kimya kimya likatiwa saini ,eti kujali HAKI ZA BINAADAMU.

 

Nadhani,kama jamii yenyewe itasimama imara na kusiwepo jumuiya (NGO) ya MASHOGA halina nafasi lakini wakijumuika MASHOGA wakiwa idadi yao 1 milioni ,kama ambavyo SERIKALI HUTAMKA WAZI HAINA DINI.

Wimbi hili hakuna ataezuia na laana tujue hiyo iko njia.

 

hayo ndo yangu !!!

Wakafie mbele hao mashoga, wenyewe wasuguane kimya kimya tu. Waingizwe kwenye katiba ili iweje?

Tusifate upepo kwa kila jambo. Sasa mashoga nao wanataka waingizwe kwenye katiba, next tutasikia kuwa vibaka/wezi/majambazi nao wanataka walindwe na Haki za Binadamu wanapopigwa walipwe fidia. Hayo yanatokea England, kibaka haguswi sababu ya Haki za Binadamu, ukimgusa tu unalo mahabusu yakusubiria na bado utamlipa huyo kibaka fidia utakapo mahabusu.  

Hao wenyewe walioanzisha hizo Haki za Binadamu (Waingereza) na kuzi-implement wanajuta, sasa wanataka kufuta baadhi ya vipengele vilivyo kwenye Haki za Binadamu maana imekuwa kero hasa kwa vikundi hivi (mashoga) kutaka watambuliwe kumiliki watoto, kushika nafasi za dini (upadre, uaskofu), wafungishwe ndoa makanisani, etc.

Hata aibu hayana
Kwa hii serikali yetu.. hakuna linaloshindikana!! Ujinga mwingi unaendelea na hili la ushoga.. litapitishwa tu!!
yaani hata mimi napinga kabisa hili swala mungu angewashushia laaana wale wote mashoka na kuwaweka vipofu, tuaelekea wapi tena kanisa la anglikana linafungisha ndoa mwanaume na mwanaume, jamani dunia imefika mwisho tunaikokota yaani panapotoka mavi teni waingizwe balaaa hili jama.

Mw enye macho na aone na mwenye masikio asikie. Ee mungu okoa dunia.

 

PamoJah

Ukiona serikali ya nchi inashupalia mashoga wakubaliwe basi jua kuna viongozi mashoga. Nchi zote zilizopitisha ushoga (ikiwemo UK) zimekuwa na viongozi mashoga (e.g. Mr Michael Portillo from UK) kwenye baraza lake la mawaziri. Vilevile upande wa dini, kumekuwepo na maaskofu mashoga miaka mingi wa Anglican Church upande wa Church of England makao makuu na ndio hao waliopigia debe ushoga ukubarike.

Dixon Kaishozi said:
Kwa hii serikali yetu.. hakuna linaloshindikana!! Ujinga mwingi unaendelea na hili la ushoga.. litapitishwa tu!!

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*