jamani kaka zangu na dada zangu hivi hili swala la hawa mashoga (wanaume) nyie mnalionaje? hivi kweli waingizwe kwenye katiba na watambulike katika jamii haya kweli ni maadili ya mtanzania?
Tags:
Msimamo wa NCHI ndio la msingi.
Kuna mangapi ambayo hayaendani na maadili yetu kwa kuogopa kwetu kukosa misaada hujitumbukiza na hili likija kuna hatari kimya kimya likatiwa saini ,eti kujali HAKI ZA BINAADAMU.
Nadhani,kama jamii yenyewe itasimama imara na kusiwepo jumuiya (NGO) ya MASHOGA halina nafasi lakini wakijumuika MASHOGA wakiwa idadi yao 1 milioni ,kama ambavyo SERIKALI HUTAMKA WAZI HAINA DINI.
Wimbi hili hakuna ataezuia na laana tujue hiyo iko njia.
hayo ndo yangu !!!
Tusifate upepo kwa kila jambo. Sasa mashoga nao wanataka waingizwe kwenye katiba, next tutasikia kuwa vibaka/wezi/majambazi nao wanataka walindwe na Haki za Binadamu wanapopigwa walipwe fidia. Hayo yanatokea England, kibaka haguswi sababu ya Haki za Binadamu, ukimgusa tu unalo mahabusu yakusubiria na bado utamlipa huyo kibaka fidia utakapo mahabusu.
Hao wenyewe walioanzisha hizo Haki za Binadamu (Waingereza) na kuzi-implement wanajuta, sasa wanataka kufuta baadhi ya vipengele vilivyo kwenye Haki za Binadamu maana imekuwa kero hasa kwa vikundi hivi (mashoga) kutaka watambuliwe kumiliki watoto, kushika nafasi za dini (upadre, uaskofu), wafungishwe ndoa makanisani, etc.
Mw enye macho na aone na mwenye masikio asikie. Ee mungu okoa dunia.
PamoJah
Kwa hii serikali yetu.. hakuna linaloshindikana!! Ujinga mwingi unaendelea na hili la ushoga.. litapitishwa tu!!
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by