Tulonge

Kumekuwa na mwenendo usio wa kawaida kwa mambo ya kisiasa kwa mauaji yanayoendelea. Nayaita ya kisiasa kwani yamekuwa yakitokea katika nyakati na vipindi vya siasa na chaguzi ndogo za majimbo na kata. hii inaashiria nini? na kwanini ni wanachama wa chadema tu? Je nani anahusika?

Views: 404

Reply to This

Replies to This Discussion

Tunapoelekea siko kabisa, kuna hatari ya machafuko makubwa kutokea endapo watu wakiamua kulipa kisasi.Itakua ni kuchinjana kwa kwenda mbele.

HILI SUALA NI GUMU KULIZUNGUMZIA KWANI KATIKA SIASA KUNA MIZENGWE MINGI, NA MBINU NYINGI ZA WANASIANA ZA KUTEKA HISIA ZA WATU, PENGINE CHADEMA WENYEWE WANATEKELEZA HAYA MAUAJI ILI KUTKA FIKRA ZA WATU ILI UPENDE MWINGINE YAANI CCM WAONEKANE NDIYO WATEKELEZAJI WA MAUAJI HAYA. NILIPATWA KUDOKEZWA NA MWANASIASA MKONGWE JUU YA MBINU ZA K-UTEKA AKILI ZA *WANANCHI

You are right. Pande zote yawezekana zahusika lkn kinachonishangaza ni ukimya wa jeshi la polisi katika hali tete kama hii. Mlolongo wote wa matukio hauna taarifa rasmi na muhimu kujuzwa kwa wadau ili angalau kieleweke ni nini kinachosababisha.... WHY?????????????

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*