Tulonge

Ile kuwezesha wadau wa Tulonge kufahamiana zaidi na kurekebishana tabia, kamati ya Tulonge imekaa na kuamua kuanzisha kipengele hiki cha “Mdau wa mwezi”. Kila itakapofika mwanzo wa mwezi picha ya mdau mmoja
itawekwa ukurasa mkuu (home page) na wadau wengine watapata nafasi ya kutoa
maoni juu ya mdau huyo.Maoni hayo yatalenga juu ya tabia (mbaya au nzuri) ya
mdau huyo jinsi anavyoonekana hapa Tulonge.Pia mdau huyo atatakiwa kujibu
maswali yote ambayo ataulizwa. Picha hiyo itakaa kwa muda wa siku tano.

Views: 1117

Reply to This

Replies to This Discussion

safi hiyo ,i'm waiting!
Hii nimeipenda Dismas,naomba uanze na mimi hhahaahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wazo zuri shujaa OKONKWO!! hii itafanya kijiji kiwe na mvuto wa watu kukitembelea mara kwa mara.
Lakini mimi naona picha/jina moja/mdau mmoja kwa mwezi mzima itachosha sana kwani ni muda mrefu! pendekezo langu naona ingekuwa vema kama ingekuwa ni kwa wiki moja tu yaani MDAU WA WIKI.
nawasilisha.
Safi sana! Ila kusiwe na upendeleo kwa wadada tu maana sina imani na kamati!!!
Don hata mimi nililifikiria hilo la wiki moja ila nikaona kijiji chetu ndo kwanza kinaanza, hivyo 'active members' siyo wengi. Ninaweza kuanza kuweka picha ya mdau kila wiki ukashangaa wanaisha baada ya muda mfupi sana. Kumbuka huwezi kumuweka memba ambaye hajaweka picha yake halisi hapa kijijini.Ukiangalia walioweka picha zao halisi ni wachache sana. Ndiyo maana nikaamua kuweka kwa mwezi. Kama wadau wakiongezeka zaidi itabidi tufanye kila wiki. Unasemaje hapo Don.
Hahahahahahaaa Alfan acha kujihami,hakutakuwa na upendeleo wowote.
Hiyo itakuwa fresh na lazima apate zawadi


Don M said:
Wazo zuri shujaa OKONKWO!! hii itafanya kijiji kiwe na mvuto wa watu kukitembelea mara kwa mara.
Lakini mimi naona picha/jina moja/mdau mmoja kwa mwezi mzima itachosha sana kwani ni muda mrefu! pendekezo langu naona ingekuwa vema kama ingekuwa ni kwa wiki moja tu yaani MDAU WA WIKI.
nawasilisha.
ni kweli ipo ila iwe kwa wiki itakuwa poa
dis kwa wiki itakuwa poa that way it wapa hamasa wengine wasokuwa na picha
Naunga mkono hoja hii
Nakubaliana nawe Dismas, na pia ombi langu kubwa ni kuwa uanze kwa kuweka picha ya Alfan

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*