Ile kuwezesha wadau wa Tulonge kufahamiana zaidi na kurekebishana tabia, kamati ya Tulonge imekaa na kuamua kuanzisha kipengele
hiki cha “Mdau wa mwezi”. Kila itakapofika mwanzo wa mwezi picha ya mdau mmoja
itawekwa ukurasa mkuu (home page) na wadau wengine watapata nafasi ya kutoa
maoni juu ya mdau huyo.Maoni hayo yatalenga juu ya tabia (mbaya au nzuri) ya
mdau huyo jinsi anavyoonekana hapa Tulonge.Pia mdau huyo atatakiwa kujibu
maswali yote ambayo ataulizwa. Picha hiyo itakaa kwa muda wa siku tano.
Tags:
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by