Tulonge

Ile kuwezesha wadau wa Tulonge kufahamiana zaidi na kurekebishana tabia, kamati ya Tulonge imekaa na kuamua kuanzisha kipengele hiki cha “Mdau wa mwezi”. Kila itakapofika mwanzo wa mwezi picha ya mdau mmoja
itawekwa ukurasa mkuu (home page) na wadau wengine watapata nafasi ya kutoa
maoni juu ya mdau huyo.Maoni hayo yatalenga juu ya tabia (mbaya au nzuri) ya
mdau huyo jinsi anavyoonekana hapa Tulonge.Pia mdau huyo atatakiwa kujibu
maswali yote ambayo ataulizwa. Picha hiyo itakaa kwa muda wa siku tano.

Views: 1005

Reply to This

Replies to This Discussion

Ngoja na mimi niwe kama mbunge wa CCM kwa kusema naunga HOJA. Tehe tehe tehe tehe! Just utani jamani.

Bwana Dismas, hongera sana, kwanza kwa kutuweka PamoJah kama hivi na pili kwa hili ambalo linakuja soon! You have done something so unique. Hongera sana mdogo wangu.

Tupo PamoJah.

One Love!
Mi nataka picha ya kwanza iwe ya shemeji mke wa Alfan, tehe tehe tehe tehe! Alfan alivyo na wivu, si ajabu akaanza kufuatilia nyendo zangu.

PamoJah madheee!
Hahahahaahahahaha! We CHA picha zinazowekwa ni za wadau na si vinginevyo!!!
Nimeshaanza kuwa na wasiwasi na wewe ngoja nikatoe picha za mke wangu usije kuni CCM!!!
Asante sana,ila mm siyo mdogo wako ni kaka yako wa kwanza hahahaaaa

Cha the Great said:
Ngoja na mimi niwe kama mbunge wa CCM kwa kusema naunga HOJA. Tehe tehe tehe tehe! Just utani jamani.

Bwana Dismas, hongera sana, kwanza kwa kutuweka PamoJah kama hivi na pili kwa hili ambalo linakuja soon! You have done something so unique. Hongera sana mdogo wangu.

Tupo PamoJah.

One Love!
Mama huyo Alfan hawezi kuanzisha hii ishu,kwanza hajaweka picha yake halisi kwenye profile yake hahaahahaaaaa

Mama Malaika said:
Nakubaliana nawe Dismas, na pia ombi langu kubwa ni kuwa uanze kwa kuweka picha ya Alfan
Naunga HOJA,naomba tuanza na MR.TULONGE.
Hahahahaa Mary mr Tulonge hawezi kuwa wa kwanza. Utaanza wewe au c o?

Mary wa mkumbo said:
Naunga HOJA,naomba tuanza na MR.TULONGE.
Sisi tunashukuru kwa kuanzisha kipengele hicho. Imetulia hiyo!!!!
makubwa
Madogo yana nafuu, tena inabidi tuanze na wewe lucie

Lucie said:
makubwa
Naunga HOJA 100% !!!! WAZO: Itakuwa vizuri kama utapata wasifu wa "mdau" utakaye muweka ili watu waweze kujua undani wa mdau husika vizuri.. alafu kuchangia hoja na kumuuliza maswali itakuwa rahisi.... Natumaini hii mambo itaanza soon!

Nakutakia kheri

PamoJah.
Hamna noma Dixon,ila kama nitashindwa kupata wasifu wake itabidi wadau mmuulize vzr hadi aseme. Hii itabidi ianze mwz wa 12 mwanzoni kabisa

Dixon Kaishozi said:
Naunga HOJA 100% !!!! WAZO: Itakuwa vizuri kama utapata wasifu wa "mdau" utakaye muweka ili watu waweze kujua undani wa mdau husika vizuri.. alafu kuchangia hoja na kumuuliza maswali itakuwa rahisi.... Natumaini hii mambo itaanza soon!

Nakutakia kheri

PamoJah.

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*