Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa maoni.Unaruhusiwa kumtwanga maswali,kumpa ushauri,kutoa lalamiko lako kwake,kuomba chochote toka kwake nk kwa kuzingatia maadili mema. Kazi kwako.

Views: 1890

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion


KAKA EDDIE NASHUKURU SANA NA NINASEMA AMEIN
eddie said:
Naomba nikupe hongera tu ya kuchaguliwa kuwa mdau wa week! Mimi sina maswali zaidi ya kukutakia mafanikio katika kila shughuli zako. Nakutakia heri na baraka, Mungu akubariki tuzidi kuona tabasamu na uzuri wako daima.

Hongera dada kwa kuwa mdau wa wiki!!

maswali yangu ni kama yafuatavyo!

1.Ni maswali gani yalokufurahisha kutoka kwa wadau walonitangulia (kama yapo).

2.Ni maswali gani yalokuudhi au kukukwaza toka kwa wadau walonitangulia (kama yapo).

3.Ni ushauri gani unatoa kwa wale wenye maswali ya kuudhi ( incase kama wapo).

 

HONGERA SANAKWA KUWA MDAU WE2 WA WEEK NA PIA  KWA KUJIBU VIZURI MASWALI MAGUMU

UMM! ME NAKUONEA HURUMA ILA KAMOJA TU,  JE? UNAFIKIRI UNAJIFUNZA KITU KUWA HAPA KIJIJINI?.

Walahi nakuja hehe hehe ngoja tu

Hivi dada Angela aka beautiful unapendelea chakula gani? Ni kitu gani ukuliko vyote na ni kitu gani unachopenda kuliko vyote hapa duniani?

 

 

Kitu Kingine una sura nzuri dada yangu....yaaani natamani (SOME TEXT MISSING)
@Don Magere yaani mimi nimeona bora nisiulize maswali maana nimemwonea huruma ya maswali ya nguoni - personal and intimate ones! Yaani naona Angy atatafunwa kama chewing gum kwa maswali na watu wakishaona utamu umeisha watatema na kutupa! Nimeona nisimtafune kwa maswali ili bado awe mtamu milele!

1.Una kipi cha kushauri ili kuboresha kijiji chetu cha Tulonge?

2.Naomba namba yako ya simu kama hutajali.

1. Unakipi cha kusema kuhusu watu (hasa wa TZ) kuchanga kwa nguvu zote michango ya sherehe kama Harusi n.k, lkn wanakuwa WAGUMU kutoa michango kwa ajili ya wagonjwa, yatima na mambo mengine ya muhimu?

2. Wewe binafsi huwa unatoa michango ya harusi kwa kuogopa lawama au huwa unatoa kwa moyo wako wote?

3. Utajisikiaje endapo serikali ITASITISHA michango ya harusi pamoja na sherehe nyingine zisizo na lazima ya kuchangiwa? Kama unahitaji sherehe inabidi ugharamikie mwenyewe halafu ualike watu,au mtu aamue kukuchangia mwenyewe lkn siyo kuomba kuchangiwa.

Mimi nakupa hongera kwa urembo wako dada
NASHUKURU SANA MY DEAR LILIAN, BE BLESSED

Lilian said:
Mimi nakupa hongera kwa urembo wako dada

NASHUKURU SANA KAKA DON, KAKA YANGU NI VIZURI KUHESHIMU HISIA AU MAWAZO YA MWENZAKO AWE MKUBWA AU MDOGO. KUHUSU MASWALI YALIYONIFURAHISHA YOTE YAMENIFURAHISHA NA HAMNA HATA MOJA LILILONIFANYA KUKOSA FURAHA ( KUUDHIKA ). USHAURI KWA WALE WENYE MASWALI YASIYOELEWEKA NAWAAMBIA WAJIREKEBISHE NA PIA NI UTOTO TU NDO UNAOWASUMBUA SO IPO SIKU UMRI UKIENDA WATAJIREKEBISHA.
Don M said:

Hongera dada kwa kuwa mdau wa wiki!!

maswali yangu ni kama yafuatavyo!

1.Ni maswali gani yalokufurahisha kutoka kwa wadau walonitangulia (kama yapo).

2.Ni maswali gani yalokuudhi au kukukwaza toka kwa wadau walonitangulia (kama yapo).

3.Ni ushauri gani unatoa kwa wale wenye maswali ya kuudhi ( incase kama wapo).

 

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*