Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa maoni.Unaruhusiwa kumtwanga maswali,kumpa ushauri,kutoa lalamiko lako kwake,kuomba chochote toka kwake nk kwa kuzingatia maadili mema. Kazi kwako.

Views: 1998

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

ALUUUUUUUUU NIMEVAMIWA NDIYO NIPO SINGLE LOL HA HA HA HA

Emmanuel Kibassa said:
okay, unamaana gani unavyosema anakuja, means upo single ama?

ALEIKUM MSALAM BABU DAMNAN NASHUKURU SANA. MANAKE SASA NAONA UMEJIWEKA KWENYE UBABU HESHIMA YAKO BABU LOL JOKES.

KUHUSU USHAURI KWA WADADA WENZANGU MIMI NAWAOMBA TUFANYE KAZI KWA BIDII NA TUSITEGEMEE KAZI MOJA TUU PIA TUJIHUSISHE NA UJASIRIAMALI HUKU TUKIWASILIANA KWA MAKUTANO AMBAYO YATATUFANYA TUSHIRIKISHANE MAMBO MENGI ZAIDI.

NA KUHUSU MISAADA KWA WATOTO YATIMA NA WALE WOTE WASIOJIWEZA NAFIKILI UMEONA PALE KWENYE KUCHANGIA MFUKO WA WATOTO YATIMA NIMESHAKUWA NI MEMBER NA NIPO NJIANI NATAKA KUJAA PALE NA SIKU TULIPOKUWA TUNAONGELEA SWALA HILI NILIKWEPO PALE MAKUMBUSHO. ASANTE SANA KAKA DAMNAN
hassan damnan said:

asalam alaikum dada hongera kwa kuwa mdau wa wiki mie nakuliza dada una mipango gani ya kusaidia jamii na kuwasaidia wazeee kama sisi na unataka dada wenzako wafanye nini ili kuendeleza gurudumu la kijiji kwa mfano kuwa na kikundi cha kina dada kitakacholeta umoja kijijini na kuwasaidia mayatima na wasiojiweza hapo tosha dada

DAH KUMBE NI WEWE BONIFACE MSAMI NIMEKUBAMBA UNAJUA NILIKUWA SIJAKUJUA VIZURI KWANI PICHA YAKO HAIONEKANI VIZURI UNAJUA NIKASHANGAA HUYU MTU GANI ASIYE NA SHUKURANI NATAKA NIMJUE NAENDA KUFUNGUA PAGE YAKO NAKUKUTA AAAA WEWE NIMEKUZOEA NDO ULIVO MWANAUME HUNA SHUKURANI HATA KIDOGO NA NILIHISI NI WEWE TUU.

kadirielly@yahoo.com said:

dada ANGELA aksante kwa majibu yako yasionilidhisha, kwa sababu ninazozijua mimi, ni mimi mpendwa wako BONIPHACE, NAKUTAKIA SIKU NJEMA, MAMA WATOTO WAWILI,

nakupongeza severin kwa maswali yako mazito uliomuuliza angela, ila wewe severin sizani kama umeoa kabla ya hilo tendo,

nafurahi sana dada angela kwa majibu yako mazuri na moyo wa huruma wa kusaidia wasiojiweza mola akubariki hata mie ni member wa kikundi cha mayatima

ANGELA JULIUS said:

ALEIKUM MSALAM BABU DAMNAN NASHUKURU SANA. MANAKE SASA NAONA UMEJIWEKA KWENYE UBABU HESHIMA YAKO BABU LOL JOKES.

KUHUSU USHAURI KWA WADADA WENZANGU MIMI NAWAOMBA TUFANYE KAZI KWA BIDII NA TUSITEGEMEE KAZI MOJA TUU PIA TUJIHUSISHE NA UJASIRIAMALI HUKU TUKIWASILIANA KWA MAKUTANO AMBAYO YATATUFANYA TUSHIRIKISHANE MAMBO MENGI ZAIDI.

NA KUHUSU MISAADA KWA WATOTO YATIMA NA WALE WOTE WASIOJIWEZA NAFIKILI UMEONA PALE KWENYE KUCHANGIA MFUKO WA WATOTO YATIMA NIMESHAKUWA NI MEMBER NA NIPO NJIANI NATAKA KUJAA PALE NA SIKU TULIPOKUWA TUNAONGELEA SWALA HILI NILIKWEPO PALE MAKUMBUSHO. ASANTE SANA KAKA DAMNAN
hassan damnan said:

asalam alaikum dada hongera kwa kuwa mdau wa wiki mie nakuliza dada una mipango gani ya kusaidia jamii na kuwasaidia wazeee kama sisi na unataka dada wenzako wafanye nini ili kuendeleza gurudumu la kijiji kwa mfano kuwa na kikundi cha kina dada kitakacholeta umoja kijijini na kuwasaidia mayatima na wasiojiweza hapo tosha dada

NASHUKURU SANA KAKA DAMNAN NAWE UBARIKIWE PIA

Hongera Kwa nafasi hii ya kuwa mdau wa wiki.....Nadhani jina lako unalijua vizuri maana yake..."   Angela......Angelina"...Maana yake ni Malaika. Mimi nakuja na kitita cha maswali J3 nikirudi safari kutoka kibaruani..ila natanguliza haya:

1)  Je unautunza umalaika wako?

2) Una miaka mingapi?

3) Bongo unakaa kona zipi?

4) Kazi gani unafanya...na je umeridhika nayo?

5) Unafikiriaje swala la nchi yetu kuchakachuliwa na mafisadi?

6)Unaonaje ukipita mitaa ya Masaki au Osterbay wazungu mageti makubwa, mbwa mkali..na mbagala kila nyumba pembeni jalala...Hii hali unaifikiriaje?

Hayo kwa sasa niko nayo,  bado niko na kitita  cha utata wa maswali Malaika weye...Jumatatu!!

ALAULA LOL HAYA SINA BUDI KUYAJIBU ILA NAKUOMBA YASIWE MAGUMU UTANIKIMBIZA KONA HII DEAR.

NASHUKURU KWA PONGEZI MY KAKA NAANZA KUKUJIBU KAMA IFUATAVO:

1) NDIYO NAUTUNZA UMALAIKA WANGU ( INGAWA SWALI LAKO NI TETE KIDOGO )

2) NINA MIAKA 28 SASA

3) HAPA TANZANIA NAISHI KIBAMBA - KARIBU SANA SIKU UKIJA

4) NAFANYA KAZI YA OFISI TUU KAMA KIONGOZI WA OFISI NA PIA NIMERIDHIKA NAYO KIUKWELI

5) SWALA LA NCHI YETU KUCHAKACHUKIWA HILI HUWA LINANIUMIZA SANA MOYO ILA IPO SIKU HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA

6) HALI HII YA TOFAUTI YA WATU WA MASAKI NA MBAGALA HII HALI HUWA NACHUKULIA KAMA MAJAALIWA YA MWENYEZI MUNGU KWANI HAYO MAJALALA YA MBAGALA NI WENYEWE WANAPENDA KUWA KARIBU NAYO ILA WAKIWEKA MKAZO KATIKA SWALA ZIMA LA USAFI WA MAZINGIRA NAIMANI HALI ITAKUWA NZURI TUU NA NDO MANA TUNA MABALOZI WA NYUMBA KUMIKUMI NA SERIKALI ZA MITAA. KUNA MSEMO WANASEMA ALIYEKUWA NACHO ANAONGEZEWA NA SIYE NACHO ANANYANG'ANYWA KABISA.

NAKUSUBILI NA MASWALI MENGINE WEWE JAAAAAA TUUUUU  ILA USINIPANIE DEAR WANGU.

Gratious Kimberly said:

Hongera Kwa nafasi hii ya kuwa mdau wa wiki.....Nadhani jina lako unalijua vizuri maana yake..."   Angela......Angelina"...Maana yake ni Malaika. Mimi nakuja na kitita cha maswali J3 nikirudi safari kutoka kibaruani..ila natanguliza haya:

1)  Je unautunza umalaika wako?

2) Una miaka mingapi?

3) Bongo unakaa kona zipi?

4) Kazi gani unafanya...na je umeridhika nayo?

5) Unafikiriaje swala la nchi yetu kuchakachuliwa na mafisadi?

6)Unaonaje ukipita mitaa ya Masaki au Osterbay wazungu mageti makubwa, mbwa mkali..na mbagala kila nyumba pembeni jalala...Hii hali unaifikiriaje?

Hayo kwa sasa niko nayo,  bado niko na kitita  cha utata wa maswali Malaika weye...Jumatatu!!

naomba nikuweke kiporo mpaka jumapili nahisi akili yangu itakua ishatulia nikukong'oli vizuri.

angel hongera kubahatika kupamba front page ya tulonge.

napenda sana kuona picha zako maana kila saa unasmile.

keep it dia.

Naomba nikupe hongera tu ya kuchaguliwa kuwa mdau wa week! Mimi sina maswali zaidi ya kukutakia mafanikio katika kila shughuli zako. Nakutakia heri na baraka, Mungu akubariki tuzidi kuona tabasamu na uzuri wako daima.
JAMANI KAKA KUNAMBI PLSSSSSS NJOO TARATIBU USINIPANIE HIVO.HAYA NAKUNGOJA BEST

KUNAMBI Jr said:
naomba nikuweke kiporo mpaka jumapili nahisi akili yangu itakua ishatulia nikukong'oli vizuri.
ASANTE SANA MTANI WANGU MARIA , NA PIA USHAURI WAKO NIMEUWEKA MOYONI MWANGU, TUPO PAMOJA

Mary wa mkumbo said:

angel hongera kubahatika kupamba front page ya tulonge.

napenda sana kuona picha zako maana kila saa unasmile.

keep it dia.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*