Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa maoni.Unaruhusiwa kumtwanga maswali,kumpa ushauri,kutoa lalamiko lako kwake,kuomba chochote toka kwake nk kwa kuzingatia maadili mema. Kazi kwako.

Views: 1998

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

ASANTE SANA KAKA DIXON NI LAZIMA UJIAMINI SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO NA HII NI SILAHA TOSHA KWA WANAOKUCHUNGULIA KWA KARIBU AU MBALI.

Dixon Kaishozi said:
Dada Angel!!!! Nakupongeza kwa UJASIRI ulio nao. Ni jinsi gani umeonyesha kijiji kuwa huteteleki kwa swali lolote litakalo kujia! HONGERA kwa hilo na Nakuombea uwe jasiri hivyo hivyo..
KILA MTU NA UWEZO WAKE DISMAS NA PIA HAPA KIKUBWA NI WEWE NA MWENZAKO KUJADILIANA KAMA HAMTAKI SHEREHE NI SAWA INA MAANA MKITOKA KANISANI MNAENDELEA NA SHUGHULI ZENU KAMA KAWAIDA

Tulonge said:
Mimi SIWEZI kuchangisha watu michango ya harusi hata siku moja. Nikiwa na uwezo nitaandaa sherehe kwa hela yangu halafu nawaalika mcheze hizo sebene. Kama sina hela sifanyi sherehe. Nitatoka na mke wangu kanisani then tunaelekea nyumbani kupumzika kwa raha zetu.

ANGELA JULIUS said:

TENAAAAAAAAA KUMBE UMEONAAAAAA DISMAS TENA NASUBILIA YA KWAKO NIKUCHANGIE NIJE NICHEZE SEBENE HADI KUCHWA LOL HA HA HA

HAWA WANAOCHANGIA HARUSI NA MAMBO MENGINE YA STAREHE KWA SANA BADALA YA KUSAIDIA WENYE SHIDA MBALIMBALI ZA KIMAISHA NA KIAFYA KWA KWELI HAWAPO SAWA ILA NI KUWAOMBEA TUU IPO SIKU AKILI ZAO ZITABADILIKA NA KUWEKA USAWA KATIKA KILA TUKIO.

Tulonge said:

-Kumbe tupo sawa, hata mimi napenda sana MicHAng0 yA hArUs1

-Kwa kuzingatia imani yako unaona hao watu wanaochangia harusi kwa nguvu zote lkn ni wagumu kuchangia wagonjwa,elimu nk wapo sawa?

ANGELA JULIUS said:

HAPA MASWALI YAKO YOTE NAONA YAMELENGA KITU KIMOJA CHA MICHANGO YA HARUSI KULIKO KUSAIDIA WASIOJIWEZA. NAANZA KUJIBU YOTE KWA PAMOJA KWA KUSEMA UNAJUA SWALA LINAITWA MICHANGO NI ROHO YA MTU INAVOMWAMBIA AU INAVOMWELEKEZA INATEGEMEANA NA IMANI YAKE KWA MUNGU HUYU TUNAYEMWABUDU.

NA KUHUSU SERIKALI KUSITISHA MICHANGO YA HARUSI AU MICHANGO MINGINE YOYOTE ILE ISIYO NA TIJA MIMI NAONA HAPO NI UHURU WA MTU BINAFSI INA MAANA SERIKALI ITAKUWA IMEINGILIA UHURU WA MTU KITU AMBACHO NI KINYUME NA HAKI ZA BINADAMU.

KUTOA NI MOYO KAKA YANGU DISMAS KAMA UNAJISIKIA KUTOKUTOA SIDHANI KAMA UTALAZIMISHWA UTOE.

BINAFSI NATOA MICHANGO KWA MOYO WANGU WOTE NA KWENYE SHUGHULI NAENDA KAMA KAWAIDA NACHEZA SEBENE HADI KUNAKUCHA LOL HA HA HA  HA.

 Tulonge said:

1. Unakipi cha kusema kuhusu watu (hasa wa TZ) kuchanga kwa nguvu zote michango ya sherehe kama Harusi n.k, lkn wanakuwa WAGUMU kutoa michango kwa ajili ya wagonjwa, yatima na mambo mengine ya muhimu?

2. Wewe binafsi huwa unatoa michango ya harusi kwa kuogopa lawama au huwa unatoa kwa moyo wako wote?

3. Utajisikiaje endapo serikali ITASITISHA michango ya harusi pamoja na sherehe nyingine zisizo na lazima ya kuchangiwa? Kama unahitaji sherehe inabidi ugharamikie mwenyewe halafu ualike watu,au mtu aamue kukuchangia mwenyewe lkn siyo kuomba kuchangiwa.

Nashukuru sana kwa majibu yako mazuri pia nashukuru pia kwa kunikaribisha....Bila shaka mungu akipenda nitafika one day!

Yaani lile kapu la maswali nililobeba leo naona wadau wameshamwaga yote mezani...pia ushupavu wako wa kujibu maswali kitita namna hii..ni mzuri sana imeoshesha jinsi gani ulivyo makini Malaika weye.!! Kwa wiki hii ya mdau nakutakia kila kheri..Keep it up!!
ANGELA JULIUS said:

ALAULA LOL HAYA SINA BUDI KUYAJIBU ILA NAKUOMBA YASIWE MAGUMU UTANIKIMBIZA KONA HII DEAR.

NASHUKURU KWA PONGEZI MY KAKA NAANZA KUKUJIBU KAMA IFUATAVO:

1) NDIYO NAUTUNZA UMALAIKA WANGU ( INGAWA SWALI LAKO NI TETE KIDOGO )

2) NINA MIAKA 28 SASA

3) HAPA TANZANIA NAISHI KIBAMBA - KARIBU SANA SIKU UKIJA

4) NAFANYA KAZI YA OFISI TUU KAMA KIONGOZI WA OFISI NA PIA NIMERIDHIKA NAYO KIUKWELI

5) SWALA LA NCHI YETU KUCHAKACHUKIWA HILI HUWA LINANIUMIZA SANA MOYO ILA IPO SIKU HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA

6) HALI HII YA TOFAUTI YA WATU WA MASAKI NA MBAGALA HII HALI HUWA NACHUKULIA KAMA MAJAALIWA YA MWENYEZI MUNGU KWANI HAYO MAJALALA YA MBAGALA NI WENYEWE WANAPENDA KUWA KARIBU NAYO ILA WAKIWEKA MKAZO KATIKA SWALA ZIMA LA USAFI WA MAZINGIRA NAIMANI HALI ITAKUWA NZURI TUU NA NDO MANA TUNA MABALOZI WA NYUMBA KUMIKUMI NA SERIKALI ZA MITAA. KUNA MSEMO WANASEMA ALIYEKUWA NACHO ANAONGEZEWA NA SIYE NACHO ANANYANG'ANYWA KABISA.

NAKUSUBILI NA MASWALI MENGINE WEWE JAAAAAA TUUUUU  ILA USINIPANIE DEAR WANGU.

Gratious Kimberly said:

Hongera Kwa nafasi hii ya kuwa mdau wa wiki.....Nadhani jina lako unalijua vizuri maana yake..."   Angela......Angelina"...Maana yake ni Malaika. Mimi nakuja na kitita cha maswali J3 nikirudi safari kutoka kibaruani..ila natanguliza haya:

1)  Je unautunza umalaika wako?

2) Una miaka mingapi?

3) Bongo unakaa kona zipi?

4) Kazi gani unafanya...na je umeridhika nayo?

5) Unafikiriaje swala la nchi yetu kuchakachuliwa na mafisadi?

6)Unaonaje ukipita mitaa ya Masaki au Osterbay wazungu mageti makubwa, mbwa mkali..na mbagala kila nyumba pembeni jalala...Hii hali unaifikiriaje?

Hayo kwa sasa niko nayo,  bado niko na kitita  cha utata wa maswali Malaika weye...Jumatatu!!

DUUU SIAMINIKAMA NIMEPONEA TUNDU LA SINDANO NASHUKURU SANA KAKA YANGU BE BLESSED

Asante Angela kwa kujibu maswali vizuri. Nina amini wadau watakuwa wamekufahamu vizuri zaidi. Hongereni wadau kwa kumkong'oli Angela maswali kwa kuzingatia maadili mema. Amani kwenu

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*