Tulonge

Huu ni uwanja wa kumtwanga maswali, kumpa ushauri, kuomba msaada toka mdau wetu wa wiki kwa kuzingatia maadili mema. Kazi kwako.

Views: 1679

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Mama weeee! kumbe ndiyo maana huwa anaficha picha zakeee.Anajua atatuchanganya vidume wa hapa tulonge.

-Dada wewe ni mrembo sana kwa ujumla,hizo lips zako zinadatisha. Nadhani Tulonge ameziona pia ndiyo maana kaziweka hapo hahahaaaaa.

-Nitarudi baadae kwa maswali zaidi,usiogope.

Hongera sana kuwa mdau wa wiki.. Tutaonana badae..

Heshima kuwa mdau wa wiki

Hongera sana ulinzi uwe juu yako 

Swali=Kitu gani kama ukifanyiwa utakuwa umekasirika?

siku njema

-Dada Cec umeolewa au bado?

nashkuru xana kwa compliment kaka severin be blecd...(2/10)

kujibu swali lako km nimeolewa au la, ni kwamba mimi bado cjaolewa- ( single but not alone) natumaini umenielewa Severine

 

Dunda nashuru kwa pongezi... Amen

mimi c mkasirikaji kiviiile bt ukinidanganya utaniudhi...@ Dunda

 

nashkuru kwa pongezi @ Dixon

nakusubiria iyo badae... 

u luk nic cecy!
Unawashauri nini wanawake/ mabinti wanaotoa mimba? Nani wa kulaumiwa juu hii ishu?
Hongera kwa kuwa mdau wa wiki shosti. Hebu tupe historia ya maisha yako kwa kifupi ili tukufahamu vzr.
Hongera kwa kuchaguliwa kuwa mdau wa week. Sina maswali kama kawaida yangu kutouliza. Nakutakia kila la heri katika shughuli zako za kila siku na Mungu akubaliki uwe na nguvu na afya njema.
thank you very much vitus

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*