Tulonge

Huu ni uwanja wa kumtwanga maswali, kumpa ushauri, kuomba msaada toka mdau wetu wa wiki kwa kuzingatia maadili mema. Kazi kwako.

Views: 1679

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

nashkuru xana Farida...

nakusubiria apa apa.

nashukuru sana Bonielly....

nawe nakutakia heri

Amen Hassan

nashkuru sana kwa ushauri mzuri, Mungu akubariki sana

Hongera sana Ces kwa kuwa mdau wa wiki!!!

Ces umesoma City Secondary ya mkoa gani huyawa wazi!

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Da!! kweli wewe ni mrembo na hongera sana kwa kupata bahati ya kuwa mdau wa wiki, nakutakia maisha mema kwa kila unacho kifanya.
Asanteni sana wadau wote mlioshiriki katika kipengele hiki cha mdau wa wiki. Hongera dada Cec kwa kujibu maswali vizuri, ndahani tumemfahamu Cec vizuri zaidi ya tulivyo mfahamu hapo mwanzo. Wale ambao bado hamjajibiwa maswali yenu mnaweza muuliza kwenye kurasa yake. Jiandae kumpokea mdau wa wiki ajaye katikati ya mwezi huu.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*