Tags:
Replies are closed for this discussion.
kaka emma karibu sana mkuu katika wakati huu, mgumu wa maisha hasa umeme,
1)swali langu la kwani, una umri gani? na umezaliwa katika mkoa gani? unaishi na familia au msera? na kama uko na familia una watoto wangapi?
2)sasa hivi tupo katika wakati mgumu wa maisha na tunasherehekea miaka hamsini ya uhuru, na tuna hari ngumu, je unahisi ni nini kilikosewa wakati huo? na serikali na ifanye nini ili tuondokane na hari hii miaka hamsini ijayo?
3)ni hayo tu machache ndugu yangu emma kibassa,,,,,,,,nakutakia siku njema,,,
hongera kaka Kibasa
1. Swali langu la kwanza kwa vile umepata nafasi ya kuwa mdau wa wiki unapendekezo gani kuhusu hii tulonge yetu?
2. kaka Kibasa unawashauri vipi wale vijana wasiopenda kufanya kazi wanasubiri kulelewa tu hasa hawa serengeti boys wanaopenda mijimama
3. Ushauri wangu kwako kaka Emanuel na jina lako zuri (Emanuel ni jina kubwa sana nakuomba kama jina lako lilivyo laheshima basi litumie ipasavyo ukimshukuru mungu kwa kila akujaliayo.
hahahahahahahahahaa! kwa mara ya kwanza mdau wa wiki kaingia mitini...tehetehetehetehetehe
Tulonge hebu mpigie simu najua una namba yake wadau tunamsubiri kwa hamu!!!
kaka emma karibu sana mkuu katika wakati huu, mgumu wa maisha hasa umeme,
1)swali langu la kwani, una umri gani? na umezaliwa katika mkoa gani? unaishi na familia au msera? na kama uko na familia una watoto wangapi?
2)sasa hivi tupo katika wakati mgumu wa maisha na tunasherehekea miaka hamsini ya uhuru, na tuna hari ngumu, je unahisi ni nini kilikosewa wakati huo? na serikali na ifanye nini ili tuondokane na hari hii miaka hamsini ijayo?
3)ni hayo tu machache ndugu yangu emma kibassa,,,,,,,,nakutakia siku njema,,,
hahahahahahahahahaa! kwa mara ya kwanza mdau wa wiki kaingia mitini...tehetehetehetehetehe
Tulonge hebu mpigie simu najua una namba yake wadau tunamsubiri kwa hamu!!!
kaka hongera kwa kua mdau wa wiki,me naomba kuuliza ww ni mwenyeji wa mkoa gani?
kaka Kibasa umekimbilia wapi tena? njoo uwanjani hapo umekuwa mdau wa wiki wanatulonge wanahitaji kupata ushauri, maoni na pia kukuuliza maswali mbalimbali, usikimbie bana!
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by