Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kutwanga maswali mdau wetu wa wiki.Kazi kwenu.

Views: 1461

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

kaka emma karibu sana mkuu katika wakati huu, mgumu wa maisha hasa umeme,

1)swali langu la kwani, una umri gani? na umezaliwa katika mkoa gani? unaishi na familia au msera? na kama uko na familia una watoto wangapi?

2)sasa hivi tupo katika wakati mgumu wa maisha na tunasherehekea miaka hamsini ya uhuru, na tuna hari ngumu, je unahisi ni nini kilikosewa wakati huo? na serikali na ifanye nini ili tuondokane na hari hii miaka hamsini ijayo?

3)ni hayo tu machache ndugu yangu emma kibassa,,,,,,,,nakutakia siku njema,,,

kaka hongera kwa kua mdau wa wiki,me naomba kuuliza ww ni mwenyeji wa mkoa gani?

hongera kaka Kibasa

1. Swali langu la kwanza kwa vile umepata nafasi ya kuwa mdau wa wiki unapendekezo gani kuhusu hii tulonge yetu?

2. kaka Kibasa unawashauri vipi wale vijana wasiopenda kufanya kazi wanasubiri kulelewa tu hasa hawa serengeti boys wanaopenda mijimama

3. Ushauri wangu kwako kaka Emanuel na jina lako zuri (Emanuel ni jina kubwa sana nakuomba kama jina lako lilivyo laheshima basi litumie ipasavyo ukimshukuru mungu kwa kila akujaliayo.

Hongera sana kwa kuwa mdau wa wiki...!Ntarejea kesho kwa maswali mawili matatu yenye ujazo..geti pripeadi.
kaka Kibasa umekimbilia wapi tena? njoo uwanjani hapo umekuwa mdau wa wiki wanatulonge wanahitaji kupata ushauri, maoni na pia kukuuliza maswali mbalimbali, usikimbie bana!
Huyu mdau wa week  amekimbilia pangoni....mimi ntamtafuta aje hapa ajibu maswali. Tulonge tafadhari kabla hujamweka hapa mwite chemba mdau na umuweke sawa ajiandae vinginevyo itakuwa kama hivi mtu yuko pangoni wakati hakuna access ya net au tanesco wanagawa umeme mara moja kwa mwezi hahahaha!
Huyu mjomba inaelekea kaingia mitini. Mbona hajajibu swali hata 1? Ngoja niondoke,akirudi nitakuja kumchapa maswali.

hahahahahahahahahaa! kwa mara ya kwanza mdau wa wiki kaingia mitini...tehetehetehetehetehe

Tulonge hebu mpigie simu najua una namba yake wadau tunamsubiri kwa hamu!!!

Kwanza samahani nipo kwenye Mitihani ya UE namaliza Alhamisi, ndo maana mmeona kimya, Mie kwanza naitwa Emmanuel Kibassa, nimezaliwa tarehe 13/12/1982 katika hospital ya Bombo mkoani Tanga, kwa sasa ninaishi Dodoma town, mtaa mmoja unaitwa Nkuhungu,

kadirielly@yahoo.com said:

kaka emma karibu sana mkuu katika wakati huu, mgumu wa maisha hasa umeme,

1)swali langu la kwani, una umri gani? na umezaliwa katika mkoa gani? unaishi na familia au msera? na kama uko na familia una watoto wangapi?

2)sasa hivi tupo katika wakati mgumu wa maisha na tunasherehekea miaka hamsini ya uhuru, na tuna hari ngumu, je unahisi ni nini kilikosewa wakati huo? na serikali na ifanye nini ili tuondokane na hari hii miaka hamsini ijayo?

3)ni hayo tu machache ndugu yangu emma kibassa,,,,,,,,nakutakia siku njema,,,

Jamani cjaingia mitini nipo kwenye mitihani!

Alfan Mlali said:

hahahahahahahahahaa! kwa mara ya kwanza mdau wa wiki kaingia mitini...tehetehetehetehetehe

Tulonge hebu mpigie simu najua una namba yake wadau tunamsubiri kwa hamu!!!

Mimi ni mixer wa Muhehe ambaye ni baba na mama ni Mpare! So mie ni Muhehe wa Iringa eneo moja linaitwa Nyabula.

KUNAMBI Jr said:
kaka hongera kwa kua mdau wa wiki,me naomba kuuliza ww ni mwenyeji wa mkoa gani?
Samahanini nipo kwenye mitihani lakini tupo pamoja!

Agnes Nyakunga said:
kaka Kibasa umekimbilia wapi tena? njoo uwanjani hapo umekuwa mdau wa wiki wanatulonge wanahitaji kupata ushauri, maoni na pia kukuuliza maswali mbalimbali, usikimbie bana!

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*