Tags:
Replies are closed for this discussion.
Huyu mjomba inaelekea kaingia mitini. Mbona hajajibu swali hata 1? Ngoja niondoke,akirudi nitakuja kumchapa maswali.
kaka emma karibu sana mkuu katika wakati huu, mgumu wa maisha hasa umeme,
1)swali langu la kwani, una umri gani? na umezaliwa katika mkoa gani? unaishi na familia au msera? na kama uko na familia una watoto wangapi?
2)sasa hivi tupo katika wakati mgumu wa maisha na tunasherehekea miaka hamsini ya uhuru, na tuna hari ngumu, je unahisi ni nini kilikosewa wakati huo? na serikali na ifanye nini ili tuondokane na hari hii miaka hamsini ijayo?
3)ni hayo tu machache ndugu yangu emma kibassa,,,,,,,,nakutakia siku njema,,,
Amina dada Agness, napendekeza kuwa warudishe zile Quiz coz zitatujenga kuwa makini na kujua ni kitu gani au vitu gani vinawekwa kwenye Tulonge, na inamjenga mtumiaji kufikiria sana!
2. Vijana wenzangu nawashauri tufanye kazi kwa bidii kwasababu maisha ni magumu sana! tusipende kujibweteka kazi zipo nyingi za kujiajili.
Agnes Nyakunga said:
hongera kaka Kibasa
1. Swali langu la kwanza kwa vile umepata nafasi ya kuwa mdau wa wiki unapendekezo gani kuhusu hii tulonge yetu?
2. kaka Kibasa unawashauri vipi wale vijana wasiopenda kufanya kazi wanasubiri kulelewa tu hasa hawa serengeti boys wanaopenda mijimama
3. Ushauri wangu kwako kaka Emanuel na jina lako zuri (Emanuel ni jina kubwa sana nakuomba kama jina lako lilivyo laheshima basi litumie ipasavyo ukimshukuru mungu kwa kila akujaliayo.
Jamani cjaingia mitini nipo kwenye mitihani!
Alfan Mlali said:
hahahahahahahahahaa! kwa mara ya kwanza mdau wa wiki kaingia mitini...tehetehetehetehetehe
Tulonge hebu mpigie simu najua una namba yake wadau tunamsubiri kwa hamu!!!
Oooh Ok mkuu,tulidhani umesepa kiaina..Nakutakia kila la heri kataika mitihani yako!!
Emmanuel Kibassa said:
Jamani cjaingia mitini nipo kwenye mitihani!
Alfan Mlali said:
hahahahahahahahahaa! kwa mara ya kwanza mdau wa wiki kaingia mitini...tehetehetehetehetehe
Tulonge hebu mpigie simu najua una namba yake wadau tunamsubiri kwa hamu!!!
Nimependa majibu yako
kweli nalifikiri kuwa umekimbia maswali kumbe we ni mkali
mtihani mwema!
Emmanuel Kibassa said:
Amina dada Agness, napendekeza kuwa warudishe zile Quiz coz zitatujenga kuwa makini na kujua ni kitu gani au vitu gani vinawekwa kwenye Tulonge, na inamjenga mtumiaji kufikiria sana!
2. Vijana wenzangu nawashauri tufanye kazi kwa bidii kwasababu maisha ni magumu sana! tusipende kujibweteka kazi zipo nyingi za kujiajili.
Agnes Nyakunga said:hongera kaka Kibasa
1. Swali langu la kwanza kwa vile umepata nafasi ya kuwa mdau wa wiki unapendekezo gani kuhusu hii tulonge yetu?
2. kaka Kibasa unawashauri vipi wale vijana wasiopenda kufanya kazi wanasubiri kulelewa tu hasa hawa serengeti boys wanaopenda mijimama
3. Ushauri wangu kwako kaka Emanuel na jina lako zuri (Emanuel ni jina kubwa sana nakuomba kama jina lako lilivyo laheshima basi litumie ipasavyo ukimshukuru mungu kwa kila akujaliayo.
Hongera kuwa mdau wa wiki
Swali sina ila nakutakia kila la kheri kwenye miangaiko yako ya kila isku
Eti kaka umeoa au una mchumba?
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by