Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kutwanga maswali mdau wetu wa wiki.Kazi kwenu.

Views: 1412

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Naweza kusema kilichokosewa ni kuelimishwa mapema, Tanzania ni nchi ya kwanza EA yenye mali asili nyingi na viwanda vingi, but hatujui kuvitumia hapo ndo tulivyokosea mwanzo, Tunaweza kuondokana na hali hiyo kwa kupata wataalam  wengi. natumai nimekujibu fresh swali lako

kadirielly@yahoo.com said:

kaka emma karibu sana mkuu katika wakati huu, mgumu wa maisha hasa umeme,

1)swali langu la kwani, una umri gani? na umezaliwa katika mkoa gani? unaishi na familia au msera? na kama uko na familia una watoto wangapi?

2)sasa hivi tupo katika wakati mgumu wa maisha na tunasherehekea miaka hamsini ya uhuru, na tuna hari ngumu, je unahisi ni nini kilikosewa wakati huo? na serikali na ifanye nini ili tuondokane na hari hii miaka hamsini ijayo?

3)ni hayo tu machache ndugu yangu emma kibassa,,,,,,,,nakutakia siku njema,,,

OOO HONGERA SANA KAKA YANGU KWA KUWA MDAU WA WIKI. SIKU NIKIJA DODOMA NITAKUTAFUTA NKUHUNGU NAKUFAHAMU NILIFIKAGA HUKO KITAMBO KIDOGO.
Snakosa bahati agrrrrrrrr

Emmanuel Kibassa said:
Mtemi mie bado sijaoa,ila nina mtoto mmoja na ninampenda sana! yupo na mama yake Moshi yupo kikazi, Mungu akinijalia nextyear naoa!

Mtemi said:

Eti kaka umeoa au una mchumba?

Dah karibu sana! mie nipo cku ukija wewe nijulishe sawa Angel?

ANGELA JULIUS said:
OOO HONGERA SANA KAKA YANGU KWA KUWA MDAU WA WIKI. SIKU NIKIJA DODOMA NITAKUTAFUTA NKUHUNGU NAKUFAHAMU NILIFIKAGA HUKO KITAMBO KIDOGO.
Hujakosa bado coz hata michakato bado so usijali!

Mtemi said:
Snakosa bahati agrrrrrrrr

Emmanuel Kibassa said:
Mtemi mie bado sijaoa,ila nina mtoto mmoja na ninampenda sana! yupo na mama yake Moshi yupo kikazi, Mungu akinijalia nextyear naoa!

Mtemi said:

Eti kaka umeoa au una mchumba?

Hahaha najua hakuna mapango nimekutania tu mkuu!Emmanuel Kibassa said:

huku kwetu hakuna mapango! Thanx Eddie kwa kunitakia masomo mema na maisha mema!
aksante sana mkuu kwa majibu mazuri,,, nakutakia siku njema kibassa,,,,
Hongera kwa kuwa mdau wa week. Mie sina swali zaidi ya kukutakia wiki na kazi njema.

Kijana hongera SANA kwa kuwa mdau wetu wa wiki.. Pole kwa mitihani.. nimeona wanakijiji walifikiri umepotelea HOMBOLO.. hahaaa Ebwana Dom nimekulia hapo kwa njia moja au nyingine.. na wazee wangu wamejituliza mkoani hapo baada ya kustaafu.. namaanisha maranyingi huwa nafika mitaa hiyo.. so nitakutafuta ndugu yangu nikitia timu hapo!

Ebwana mimi nakuja namna hii ingawa ni "mwezi mtukufu"!!

  1. Hunajishughulisha na nini kikazi ?
   2. unapokuwa Free.. hujishughulisha na nini ? 
   3. Wewe unatumia kilevi cha aina yoyote?

ni hayo tu kwa sasa.. Nakutakia Heri katika MITIHANI yako Mwenyezi Mungu akutangulie ufanye vizuri ili tujenge taifa letu!! Amen!

Dixon!

1. Mie ni IT wa shule moja inaitwa Martin Luther School,coz nilisomea hiyo kazi.

2. Mara nyingi nikiwa free napenda kutulia kwangu nawatch movies napenda sana kucheki movies za series, kama NIKITA. Au muda mwingine napenda kuchat sana na marafiki, nakufanya mambo yangu ya maendeleo!

3. Hapana mie tokea nimezaliwa cjiwahi kutumia kilevi chochote kile Dixon!

Dixon Kaishozi said:

Kijana hongera SANA kwa kuwa mdau wetu wa wiki.. Pole kwa mitihani.. nimeona wanakijiji walifikiri umepotelea HOMBOLO.. hahaaa Ebwana Dom nimekulia hapo kwa njia moja au nyingine.. na wazee wangu wamejituliza mkoani hapo baada ya kustaafu.. namaanisha maranyingi huwa nafika mitaa hiyo.. so nitakutafuta ndugu yangu nikitia timu hapo!

Ebwana mimi nakuja namna hii ingawa ni "mwezi mtukufu"!!

  1. Hunajishughulisha na nini kikazi ?
   2. unapokuwa Free.. hujishughulisha na nini ? 
   3. Wewe unatumia kilevi cha aina yoyote?

ni hayo tu kwa sasa.. Nakutakia Heri katika MITIHANI yako Mwenyezi Mungu akutangulie ufanye vizuri ili tujenge taifa letu!! Amen!

Jamani ndo nimetoka kumaliza mitihani yangu!

Jamani huyu mdau wa wiki ndiye aliye nifumbua macho mimi kwenye ulimwengu wa kutumia computer enzi hizo. Nashukuru kwa hilo boss.Nakumbuka enzi hizo hata kutembeza mouse ilikuwa tabu kubwa kwangu.

-Sasa mwalimu unayaonaje maendeleao ya mwanafunzi wako (Tulonge) toka ulipokutana naye mara ya kwanza hadi sasa?

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*