Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kutwanga maswali mdau wetu wa wiki.Kazi kwenu.

Views: 1412

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Dah hata mie umenizidi, ingawa kwenye vitu vingine bado mkali sana, najitahidi nikuzidi i hope God atasidia, Tulonge wewe ni mkali siku hizi nakukubali mtu wangu!

Tulonge said:

Jamani huyu mdau wa wiki ndiye aliye nifumbua macho mimi kwenye ulimwengu wa kutumia computer enzi hizo. Nashukuru kwa hilo boss.Nakumbuka enzi hizo hata kutembeza mouse ilikuwa tabu kubwa kwangu.

-Sasa mwalimu unayaonaje maendeleao ya mwanafunzi wako (Tulonge) toka ulipokutana naye mara ya kwanza hadi sasa?

Emmanuel hongera sana kwa kujitahidi kujibu maswali vizuri, nadhani wadau watakuwa wamekufahamu vizuri zaidi ya awali. Kaeni tayari kumpokea mdau wa wiki ajaye.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*