Huu ndiyo uwanja wa kuchangia chochote ulichonacho juu ya Godson William ambaye ni mdau wetu wa wiki kwa kuzingatia maadili mema. Muulize maswali,mpe ushauri,omba chochote toka kwake nk. Kazi kwako
Tags:
Replies are closed for this discussion.
mambo vipi mkuu god? natumaini u mzima wa afya, mkuu sina mengi sana ya kukuuliza, au kuhitaji ushauri,
(1)naomba unipatie histori yako,
(2)hongera kwa kuwa mdau wa wiki,
mungu azidi kukupa afya,
sina mengi zaidi ya kukwambia hongera sana kwa utanashati wako.
Naona mtanashati amekuwa mdau wa wiki leo. Hebu niambie kwanza unafanya kazi gani?
Nini siri ya utanashati wako kaka?
Mkuu wewe ni kabila gani? Hebu tusalimie wana tulonge kwa lugha ya kabila lako. Nitarudi kwa maswali zaidi
mambo vipi mkuu god? natumaini u mzima wa afya, mkuu sina mengi sana ya kukuuliza, au kuhitaji ushauri,
(1)naomba unipatie histori yako,
(2)hongera kwa kuwa mdau wa wiki,
mungu azidi kukupa afya,
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by