Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kuchangia chochote ulichonacho juu ya Godson William ambaye ni mdau wetu wa wiki kwa kuzingatia maadili mema. Muulize maswali,mpe ushauri,omba chochote toka kwake nk. Kazi kwako

Views: 1155

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

mambo vipi mkuu god? natumaini u mzima wa afya, mkuu sina mengi sana ya kukuuliza, au kuhitaji ushauri,

 

(1)naomba unipatie histori yako,

(2)hongera kwa kuwa mdau wa wiki,

mungu azidi kukupa afya,

Mkuu wewe ni kabila gani? Hebu tusalimie wana tulonge kwa lugha ya kabila lako. Nitarudi kwa maswali zaidi
Nini siri ya utanashati wako kaka?
Naona mtanashati amekuwa mdau wa wiki leo. Hebu niambie kwanza unafanya kazi gani?
sina mengi zaidi ya kukwambia hongera sana kwa utanashati wako.
Mdau kaingia mitini nn?
oooooooo poleni wapendwa kwa uvumilivu kumsubiri mdau...ah nilisafiri na nilipokuwa kidogo mawasiliano mabovu ila kwa pamoja nasema ahsanteni sana kwa heshima zenu wooooote
ahsante sana dada stella

stela james said:
sina mengi zaidi ya kukwambia hongera sana kwa utanashati wako.
kaka mimi ni mjasiriamali na ni mwalimu professionally......

Severin said:
Naona mtanashati amekuwa mdau wa wiki leo. Hebu niambie kwanza unafanya kazi gani?
hahahahaaaaaaa siri ya kwanza ni Mwenyezi Mungu kuniumba jinsi nilivyo.....zaidi sana ni wifi yako jamani dada belita...

Belita said:
Nini siri ya utanashati wako kaka?
hahaaaaa mimi ni mpare kaka kutoka Same kilimanjaro kaka...mrevedi vose????

Vitus said:
Mkuu wewe ni kabila gani? Hebu tusalimie wana tulonge kwa lugha ya kabila lako. Nitarudi kwa maswali zaidi
historia ni ndefu kadirielly..ila kwa kifupi mimi ni mzaliwa wa same...nilikulia dar na sasa nafanya kazi dodoma kaka...amina

kadirielly@yahoo.com said:

mambo vipi mkuu god? natumaini u mzima wa afya, mkuu sina mengi sana ya kukuuliza, au kuhitaji ushauri,

 

(1)naomba unipatie histori yako,

(2)hongera kwa kuwa mdau wa wiki,

mungu azidi kukupa afya,

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*