Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kuchangia chochote ulichonacho juu ya Godson William ambaye ni mdau wetu wa wiki kwa kuzingatia maadili mema. Muulize maswali,mpe ushauri,omba chochote toka kwake nk. Kazi kwako

Views: 1151

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Kaka hongera sana kuwa mdau wa wiki! give us ushauri kaka! na je unampango wa kuoa lini?
Hongera kwa kuchaguliwa kuwa mdau wa week "HANDSOME BOY". Mimi kama kawaida yangu sina maswali zaidi ya kukutakia kila la heri katika shughuli zako za kila siku. Maswali ulioulizwa hadi hivi sasa yamenipa picha kamili nilichotaka kujua!

 Unaifurahia kazi ya ualimu? Au unafanya basi tu. Ni nini kinachokufanya uifurahie?

Kaka.. Mbukwenyi.. Ulimswano ? unajua tena kila tunapo zunguka tunajifunza mazingira ya wenyeji wetu.. Nimeona kuwa wewe ni mpare lakini upo dodoma kwa sasa ndo maana nikaanza na hiyo salamu! Umesema wewe ni mjasiliamali na Mwalimu by professional !!

Je.. huo ujasiliaamali unaojishughulisha nao ni upi ?

Vipi fani ya ualimu.. unafundisha.. chekechea, shule ya msingi au Sekondari ?

Dodoma ndiyo makao makuu ya Chama tawala na Serikali kwa ujumla.. Kwa mawazo yako unaona nini kifanyike ili hiyo heshima iendane na mkoa wenyewe..

Ni hayo tu kwa sasa na nakutakia hongera kwa kuwa mdau wetu wa wiki na kila lakheri kwa yote uyafanyayo.

Pamoja!!

Hongera na kk kwa kuwa mdau wetu wa week me ningepena kurudi nyuma kidogo kwenye history umesema ni ndefu kidogo hapo kwenye urefu ndio watu hupenda kujifunza mapitio maana maisha nikujifunza bila kujifunza hakuna maisha au mzee mchoyo wa maendeleo?

kingine umesema ww nimjasiliamali huo ujasiliamali unaufanyia wapi? na unauza nn? au nyia ndio walimu mnaowapa wanafunzi visheti? wawauzie lol samahani kwa swali hili sina nia mbaya kaka ni ndani ya kutaka kujuwa zaidi kuhusu ww AMANI IWE NAWE MKUU.

Kijana kwanza Shikamoo nahs kama kiumri umenizidi, then hongera kwa kua MDAU WA WIKI yetu ya kijiji cha Tulonge maswali yangu ni kama ifuatavyo..................

1.majina yako kamili unaitwa nani?

2.unaishi wapi na nani?

3.unafanya kazi gani?

4.je umeoa na una watoto wangapi?

5.katika maisha yako ulishawahi kumpenda msichana mpaka ukahisi kama umechanganyikiwa juu yake, na ilikuaje???if YES mwaga full story hapa.

6.una mchango gani kuhusu timu yetu ya taifa kutofanya vizuri katika mshindano ya kimataifa?

7.kama ungepewa wasaa wa kuandika insha kuhusu tanzania ungeizungumziaje?

8.na kama ungepewa fursa ya kwenda kumsaidia Gaddafi je ungekubali au ungekataa na kwann??

kwa leo naomba niishie hapa........

hahahaaaaaaaa ushauri kuihusu nini kaka??? mpango wa kuoa bado kidogo no miaka miwili ijayo

Emmanuel Kibassa said:
Kaka hongera sana kuwa mdau wa wiki! give us ushauri kaka! na je unampango wa kuoa lini?
poa sana kijana tupo pamoja...

eddie said:
Hongera kwa kuchaguliwa kuwa mdau wa week "HANDSOME BOY". Mimi kama kawaida yangu sina maswali zaidi ya kukutakia kila la heri katika shughuli zako za kila siku. Maswali ulioulizwa hadi hivi sasa yamenipa picha kamili nilichotaka kujua!
ni kweli naifurahia saana kwani imekuwa kama mlango wa kunisababisha nisonge mbele kielima na kimaisha..

Joan said:

 Unaifurahia kazi ya ualimu? Au unafanya basi tu. Ni nini kinachokufanya uifurahie?

naweza kufundisha yoyote kati ya hizo wangu...kwani kiwango changu cha elimu kinaruhusu kaka..... i have a barchelor degree in education...sina itikadi ya kisiasa kaka..ila mkoa hauwezi kamwe kupata heshima kwani hicho chama chako tawala hakina maadili......kimefulia tena sana hakuna la kufanya ili mkoa uwe na heshima zaidi ya kubadili chama tawala....sorry kama nimekukwaza kaka

Dixon Kaishozi said:

Kaka.. Mbukwenyi.. Ulimswano ? unajua tena kila tunapo zunguka tunajifunza mazingira ya wenyeji wetu.. Nimeona kuwa wewe ni mpare lakini upo dodoma kwa sasa ndo maana nikaanza na hiyo salamu! Umesema wewe ni mjasiliamali na Mwalimu by professional !!

Je.. huo ujasiliaamali unaojishughulisha nao ni upi ?

Vipi fani ya ualimu.. unafundisha.. chekechea, shule ya msingi au Sekondari ?

Dodoma ndiyo makao makuu ya Chama tawala na Serikali kwa ujumla.. Kwa mawazo yako unaona nini kifanyike ili hiyo heshima iendane na mkoa wenyewe..

Ni hayo tu kwa sasa na nakutakia hongera kwa kuwa mdau wetu wa wiki na kila lakheri kwa yote uyafanyayo.

Pamoja!!

hahahaaaa sio uchoyo wa maendeleo kaka....nilianza kufanya biashara kisha nikaenda chuo mkuu...biashara yangu ipo dar es salaaam...ninauza mavazi ya kiume na kike karibu sana mkubwa..

Omary said:

Hongera na kk kwa kuwa mdau wetu wa week me ningepena kurudi nyuma kidogo kwenye history umesema ni ndefu kidogo hapo kwenye urefu ndio watu hupenda kujifunza mapitio maana maisha nikujifunza bila kujifunza hakuna maisha au mzee mchoyo wa maendeleo?

kingine umesema ww nimjasiliamali huo ujasiliamali unaufanyia wapi? na unauza nn? au nyia ndio walimu mnaowapa wanafunzi visheti? wawauzie lol samahani kwa swali hili sina nia mbaya kaka ni ndani ya kutaka kujuwa zaidi kuhusu ww AMANI IWE NAWE MKUU.

hahaaaaaaa...marahabaaaaaaaaaaaaaaa.....mimi ni Godson William Makame...ninaishi Dodoma kaka...mimi ni mwalimu kifani na pia mjasiriamali...sijaoa na sina mtoto....kupenda nimewahi kaka kwani ni mwanaume rijali..ila sikuhisi kuchanaganyikiwa kaka...sina mchango wowote kuhusu timu ya taifa kaka siasa ndo imezidi hatuwezi kufanya vizuri milele daima kama bado siasa itakuwepo katika michezo...mhhhhh ningepewa mda wa kuandika insha ningeelezea unyonyaji..ufisadi na ukandamizaja wa watanzania wanaofanyiwa na viongozi wao waliowaamini kwa kuwapa dhamana ya kuwaongoza..kaka kiukweli sijaona zuri ambalo ningeweza kuielezea tanzania..yaaaaaaah ningekwenda kaka kumsaidia

KUNAMBI Jr said:

Kijana kwanza Shikamoo nahs kama kiumri umenizidi, then hongera kwa kua MDAU WA WIKI yetu ya kijiji cha Tulonge maswali yangu ni kama ifuatavyo..................

1.majina yako kamili unaitwa nani?

2.unaishi wapi na nani?

3.unafanya kazi gani?

4.je umeoa na una watoto wangapi?

5.katika maisha yako ulishawahi kumpenda msichana mpaka ukahisi kama umechanganyikiwa juu yake, na ilikuaje???if YES mwaga full story hapa.

6.una mchango gani kuhusu timu yetu ya taifa kutofanya vizuri katika mshindano ya kimataifa?

7.kama ungepewa wasaa wa kuandika insha kuhusu tanzania ungeizungumziaje?

8.na kama ungepewa fursa ya kwenda kumsaidia Gaddafi je ungekubali au ungekataa na kwann??

kwa leo naomba niishie hapa........

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*