Huu ndiyo uwanja wa kuchangia chochote ulichonacho juu ya Godson William ambaye ni mdau wetu wa wiki kwa kuzingatia maadili mema. Muulize maswali,mpe ushauri,omba chochote toka kwake nk. Kazi kwako
Tags:
Replies are closed for this discussion.
Unaifurahia kazi ya ualimu? Au unafanya basi tu. Ni nini kinachokufanya uifurahie?
Kaka.. Mbukwenyi.. Ulimswano ? unajua tena kila tunapo zunguka tunajifunza mazingira ya wenyeji wetu.. Nimeona kuwa wewe ni mpare lakini upo dodoma kwa sasa ndo maana nikaanza na hiyo salamu! Umesema wewe ni mjasiliamali na Mwalimu by professional !!
Je.. huo ujasiliaamali unaojishughulisha nao ni upi ?
Vipi fani ya ualimu.. unafundisha.. chekechea, shule ya msingi au Sekondari ?
Dodoma ndiyo makao makuu ya Chama tawala na Serikali kwa ujumla.. Kwa mawazo yako unaona nini kifanyike ili hiyo heshima iendane na mkoa wenyewe..
Ni hayo tu kwa sasa na nakutakia hongera kwa kuwa mdau wetu wa wiki na kila lakheri kwa yote uyafanyayo.
Pamoja!!
Hongera na kk kwa kuwa mdau wetu wa week me ningepena kurudi nyuma kidogo kwenye history umesema ni ndefu kidogo hapo kwenye urefu ndio watu hupenda kujifunza mapitio maana maisha nikujifunza bila kujifunza hakuna maisha au mzee mchoyo wa maendeleo?
kingine umesema ww nimjasiliamali huo ujasiliamali unaufanyia wapi? na unauza nn? au nyia ndio walimu mnaowapa wanafunzi visheti? wawauzie lol samahani kwa swali hili sina nia mbaya kaka ni ndani ya kutaka kujuwa zaidi kuhusu ww AMANI IWE NAWE MKUU.
Kijana kwanza Shikamoo nahs kama kiumri umenizidi, then hongera kwa kua MDAU WA WIKI yetu ya kijiji cha Tulonge maswali yangu ni kama ifuatavyo..................
1.majina yako kamili unaitwa nani?
2.unaishi wapi na nani?
3.unafanya kazi gani?
4.je umeoa na una watoto wangapi?
5.katika maisha yako ulishawahi kumpenda msichana mpaka ukahisi kama umechanganyikiwa juu yake, na ilikuaje???if YES mwaga full story hapa.
6.una mchango gani kuhusu timu yetu ya taifa kutofanya vizuri katika mshindano ya kimataifa?
7.kama ungepewa wasaa wa kuandika insha kuhusu tanzania ungeizungumziaje?
8.na kama ungepewa fursa ya kwenda kumsaidia Gaddafi je ungekubali au ungekataa na kwann??
kwa leo naomba niishie hapa........
Kaka hongera sana kuwa mdau wa wiki! give us ushauri kaka! na je unampango wa kuoa lini?
Hongera kwa kuchaguliwa kuwa mdau wa week "HANDSOME BOY". Mimi kama kawaida yangu sina maswali zaidi ya kukutakia kila la heri katika shughuli zako za kila siku. Maswali ulioulizwa hadi hivi sasa yamenipa picha kamili nilichotaka kujua!
Unaifurahia kazi ya ualimu? Au unafanya basi tu. Ni nini kinachokufanya uifurahie?
Kaka.. Mbukwenyi.. Ulimswano ? unajua tena kila tunapo zunguka tunajifunza mazingira ya wenyeji wetu.. Nimeona kuwa wewe ni mpare lakini upo dodoma kwa sasa ndo maana nikaanza na hiyo salamu! Umesema wewe ni mjasiliamali na Mwalimu by professional !!
Je.. huo ujasiliaamali unaojishughulisha nao ni upi ?
Vipi fani ya ualimu.. unafundisha.. chekechea, shule ya msingi au Sekondari ?
Dodoma ndiyo makao makuu ya Chama tawala na Serikali kwa ujumla.. Kwa mawazo yako unaona nini kifanyike ili hiyo heshima iendane na mkoa wenyewe..
Ni hayo tu kwa sasa na nakutakia hongera kwa kuwa mdau wetu wa wiki na kila lakheri kwa yote uyafanyayo.
Pamoja!!
Hongera na kk kwa kuwa mdau wetu wa week me ningepena kurudi nyuma kidogo kwenye history umesema ni ndefu kidogo hapo kwenye urefu ndio watu hupenda kujifunza mapitio maana maisha nikujifunza bila kujifunza hakuna maisha au mzee mchoyo wa maendeleo?
kingine umesema ww nimjasiliamali huo ujasiliamali unaufanyia wapi? na unauza nn? au nyia ndio walimu mnaowapa wanafunzi visheti? wawauzie lol samahani kwa swali hili sina nia mbaya kaka ni ndani ya kutaka kujuwa zaidi kuhusu ww AMANI IWE NAWE MKUU.
Kijana kwanza Shikamoo nahs kama kiumri umenizidi, then hongera kwa kua MDAU WA WIKI yetu ya kijiji cha Tulonge maswali yangu ni kama ifuatavyo..................
1.majina yako kamili unaitwa nani?
2.unaishi wapi na nani?
3.unafanya kazi gani?
4.je umeoa na una watoto wangapi?
5.katika maisha yako ulishawahi kumpenda msichana mpaka ukahisi kama umechanganyikiwa juu yake, na ilikuaje???if YES mwaga full story hapa.
6.una mchango gani kuhusu timu yetu ya taifa kutofanya vizuri katika mshindano ya kimataifa?
7.kama ungepewa wasaa wa kuandika insha kuhusu tanzania ungeizungumziaje?
8.na kama ungepewa fursa ya kwenda kumsaidia Gaddafi je ungekubali au ungekataa na kwann??
kwa leo naomba niishie hapa........
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by