Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kuchangia chochote ulichonacho juu ya Godson William ambaye ni mdau wetu wa wiki kwa kuzingatia maadili mema. Muulize maswali,mpe ushauri,omba chochote toka kwake nk. Kazi kwako

Views: 1155

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

kaka hongera sana kuwa mdau wa wiki,ningependa kukuuliza maswali haya

  1.  Umekuwa ukiishi dodoma kwa muda gani mpaka sasa.
  2.  Je unaweza kutueleza kwa mtazamo wako kama kuwepo kwa jengo la bunge hapo dodoma kumeweza kuchangia maendeleo yeyote hapo dodoma,,na kama yapo ni yapi?
  3. mtazamo wako unadhani pia kunahasara zozote ambazo zipo au zinaweza kutokea kwa kuwepo na Mjengo wa Bunge hapo Dodoma,hasa kipindi ambacho wabunge huwa hapo bungeni.kama zipo ni zipi?
          Ni hayo tuu mkuu.

                         uwe na wakati mzuri.

Naona muda wa kumtwanga maswali mdau wetu wa wiki umeisha. Shukrani ziwaendee wadau wote mlioshiriki kumtwanga maswali Godson, nina imani tumefahamu mengi kuhusu God zaidi ya tulivyomfahamu mwanzo. Amani kwenu.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*