Tulonge

Huu ni uwanja wa kumkandamiza Mary swali,ombi,lawama,funzo,ushauri,dukuduku nk kwa kuzingatia maadili mema. Kumbuka na wewe unaweza ukawa mdau wa wiki baada ya wiki mbili zijazo. Kazi
kwako.

Views: 667

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Duh! nilikuwa nausongo sana na ww. Ngoja nikaandae maswali,nitarudi kukukandamizia.

Mdada nampenda sana huyu,mpoleeeeeee. Mimi nauliza kama umesha wahiwa au bado? Nataka nikamwambie kaka yangu aje kuwekeza kwako,ila waambie wazazi wako wasimtajie mahari kubwa teh teh teh

Asante Belita kwa kunipenda na kunipa sifa ya Upole,nakupenda pia.

Ila samahani kwa kaka yako amechelewa kidoooogo.

Uwe na wakati mzuri belita.
Belita said:

Mdada nampenda sana huyu,mpoleeeeeee. Mimi nauliza kama umesha wahiwa au bado? Nataka nikamwambie kaka yangu aje kuwekeza kwako,ila waambie wazazi wako wasimtajie mahari kubwa teh teh teh

Pouwa severini nakusubiri.

Siku njema.

Severin said:

Duh! nilikuwa nausongo sana na ww. Ngoja nikaandae maswali,nitarudi kukukandamizia.

Dada wewe ni kabila gani? Maana unavutia kweli.
ureeeeeee nilijua tu kama atakua marry, sasa kaa mkao wa kutandikwa maswali hapa nilipo naanza maswali toka kwenye ENCYCLOPEDIA yangu ya Medulla Oblangata, J3 naanza na ww, so take ur breath b4 the challenge coming....... c u on monday.
Dis ulijuaje kutuwekea huyu mtu, ANGALIZO maswali yote atayoulizwa "MDAU WA WIKI" anatakiwa ajibu kiukweli na si kuongopa UKIONGOPA  tunamwambia mkuu Dis akuvhukulie hatua za kinidhamu hapa kwenye ulingo wa wapendanao. wapendwa wote J2 njema,.........na heri ya mwaka mupyaaaa.

aha haahahaaaaa,kunambiiiiiiiii

Dont FIRE me plzzzzzzzzzzz.ha haaa.

J2 njema.KUNAMBI Jr said:

ureeeeeee nilijua tu kama atakua marry, sasa kaa mkao wa kutandikwa maswali hapa nilipo naanza maswali toka kwenye ENCYCLOPEDIA yangu ya Medulla Oblangata, J3 naanza na ww, so take ur breath b4 the challenge coming....... c u on monday.

Kunambi heri ya mwaka mpya!

Sawa Bosi nimekusomaaa,..........ANGALIZO, ha hahaaa!

Naamini ntatoa ushirikiano mzuri katika kujibu maswali yote.

Ili nisichukuliwe HATUA ZA KINIDHAMU na MR.Tulonge.

Enjoy ur weekend bosi.

KUNAMBI Jr said:

Dis ulijuaje kutuwekea huyu mtu, ANGALIZO maswali yote atayoulizwa "MDAU WA WIKI" anatakiwa ajibu kiukweli na si kuongopa UKIONGOPA  tunamwambia mkuu Dis akuvhukulie hatua za kinidhamu hapa kwenye ulingo wa wapendanao. wapendwa wote J2 njema,.........na heri ya mwaka mupyaaaa.
@Mary no body ill fire u, but u u ill fire by urself, stay tuned up events r coming, yaan nimeshapata maswali 23 mpaka sasa utakoma kesho hakyamungu, anza kusali kuomba mungu wako akusaidie ufahamu wa kujibu vzr!
@Mary teeh usianze kuogopa maswali ni kayaiwa tu and I hope tutaenda sawia kabisa, Mr Tulonge hana noma kabisa wala hawezi kukuchukulia hatua za kinidhamu. mantahofu dada yangu. 

Yeeeethu na mariaa,mpaka sasa unayo maswali 23,ikifika j3 siyatakuwa 50.

hakyamungu itabidi niende VATICAN nikapigwe sala na mkuu mwenyewe PAPA.

ahahaaa.
KUNAMBI Jr said:

@Mary no body ill fire u, but u u ill fire by urself, stay tuned up events r coming, yaan nimeshapata maswali 23 mpaka sasa utakoma kesho hakyamungu, anza kusali kuomba mungu wako akusaidie ufahamu wa kujibu vzr!

RSS

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*