Tulonge

Huu ni uwanja wa kumkandamiza Mary swali,ombi,lawama,funzo,ushauri,dukuduku nk kwa kuzingatia maadili mema. Kumbuka na wewe unaweza ukawa mdau wa wiki baada ya wiki mbili zijazo. Kazi
kwako.

Views: 667

Replies are closed for this discussion.

Replies to This DiscussionKUNAMBI Jr said:
@Mary teeh usianze kuogopa maswali ni kayaiwa tu and I hope tutaenda sawia kabisa, Mr Tulonge hana noma kabisa wala hawezi kukuchukulia hatua za kinidhamu. mantahofu dada yangu. 

pouwa pouwa Kunambi hamna Noma.Mary wa mkumbo said:KUNAMBI Jr said:
@Mary teeh usianze kuogopa maswali ni kayaiwa tu and I hope tutaenda sawia kabisa, Mr Tulonge hana noma kabisa wala hawezi kukuchukulia hatua za kinidhamu. mantahofu dada yangu. 
safi sana dada mery mie nakuja kesho kukutwanga kwesheni...
wadau naomba nianze na maswali kwa dada yetu mpendwa MARY kama ifuatavyo

MASWALI.

1.tupe jina halisi la kwako
2.unakaa nchi gani?
3.umeolewa?
4.una watoto wangapi?
5.unafanya kazi wapi?
6.unatumia bwax kama mdau aliyepita?
7.nini unapenda na nn hupendi? I mean ur hobbies
8.ukipewa bahati ya kumchagua handsome na kisura wa kijiji cha tulonge toka kwa MD Mr Dis ungependekeza majina gani?
9.ktk maisha gani ni tukio gani lililokufurahisha saaaaana ambalo hutalisahau maishani mwako?
10.na tukio gani baya ulilowahi kulipata maishani mwako likakuumiza sana?
11.unaonaje maisha ya humu kijijini?
12.ww ni kabila gani?

SIFA

1.Kwanza ww ni mzuri
2.Kwa jinsi ulivyo unaonyesha una adabu na hekima na busara nyng,hongera kwa hilo na mshukuru mungu wako.
3.inaonyesha hupendi ugomvi na ni mpole sana

USHAURI
1.Unaonyesha ni mtu wa matanuzi sana punguza.
2.kama hujawahi kuingia kwenye fani ya umodo sasa huu ni wakati wako coz una kila sifa.

kwa dakika hii ni hayo tu nikishamaliza kazi nitakuja kumalizia kuswalika mengne baada ya muda mfupi.

MARY WA MGUMBO majibu yanahitajika.

mary upo?
mimi namuuliza marry, unaasili ya wapi hapa tanzania, yani unatokea mkoa gani?

namalizia na maswali yangu,

13.unapenda kujirusha yaani kama disco au kwenye live band?

14.kinywaji gani kwako ukikipata kinakupa burudani kwa saaana?

15.na chakula gani unachopenda kukila?

16.kwenye picha zako unaoneka ni mtanashai sana je?nn siri ya mafanikio yako?

17.je ulishawahi kuumizwa ktk maisha yako?

18.una elimu katika ngazi ipi?

19.una mipango gani katika future yako?

20.na unategemea kupata au kuwa na  watoto wangapi ktk uzazi wako?

21.ni tunda gani unalolipenda sanaaaana?

22.how old r u?

23....................nikutakie maandalizi mema ya kujibu miswali ya wadau wengne.

Pouwa pouwa Chaoga,

2po Pamoja!chaoga said:

safi sana dada mery mie nakuja kesho kukutwanga kwesheni...

Habari kaka boniface,

Mimi ni Mnyeramba natokea mkoa wa Singida.

Ila kwa  Makazi zaidi yapo Arusha maana wazazi wapo huko kikazi zaidi.

siku njema.

Boniface Msami said:

mimi namuuliza marry, unaasili ya wapi hapa tanzania, yani unatokea mkoa gani?

Nipo kunambi,

Nayavutia pumzi maswali yako.ha haaa.

KUNAMBI Jr said:

mary upo?
marry haya vuta pumzi uanze na kipengele baada ya kingne,nimeshakaa na kalamu na karatasi hapa,ukiruka swali nakulima maksi.

RSS

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*