Tulonge

Huu ni uwanja wa kumkandamiza Mary swali,ombi,lawama,funzo,ushauri,dukuduku nk kwa kuzingatia maadili mema. Kumbuka na wewe unaweza ukawa mdau wa wiki baada ya wiki mbili zijazo. Kazi
kwako.

Views: 664

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Habari za leo kaka Kunambi,
Napenda kujibu maswali yako kama ifuatavyo,

 1. Kwa majina naitwa MARY MICKY MKUMBO
 2. Naishi ITALY
 3. Sijaolewa
 4. Sina mtoto
 5. Nafanya kazi Hotel huku Italy
 6. sorry sijaelewa swali no.6
 7.  Napenda chatting and chilling with friends,swimming,outing smtyms,eating and drinking,napenda kujiheshimu,napenda  kufurahi na kucheka hasa ninapofurahishwa ha haaa,n.k.Sipendi kudharauliwa,sipendi kunyimwa haki zangu za msingi,sipendi kuwa unhappy.
 8. Handsome ningempendekeza KUNAMBI,CHAOGA NA ALFANI na kisura MTEMI ,ANGELA na MOREEN
 9. Tukio lililo nifurahisha maishani ni baada ya kupata nafasi ya kuja huku nilipo (Italy)
 10. Tukio lililoniumiza maishani ni baada ya Kufariki Bibi yangu mpendwa aliyenilea nikiwa mdogo nilikuwa namuita mama badala ya bibi.(R.I.P grandmother)
 11. Nayafurahia sana maisha ya hapa kijijini people they are so GOOD,hawana ubaguzi,yaani najisikia nipo Tz muda wote ninapotembelea hapa kijijini Nawapenda wooote.
 12. Mimi ni Myeramba natokea mkoa wa Singida TZ,ila kimakazi zaidi kwa tanzania nipo Arusha.

KUNAMBI Jr said:

MASWALI.

1.tupe jina halisi la kwako
2.unakaa nchi gani?
3.umeolewa?
4.una watoto wangapi?
5.unafanya kazi wapi?
6.unatumia bwax kama mdau aliyepita?
7.nini unapenda na nn hupendi? I mean ur hobbies
8.ukipewa bahati ya kumchagua handsome na kisura wa kijiji cha tulonge toka kwa MD Mr Dis ungependekeza majina gani?
9.ktk maisha gani ni tukio gani lililokufurahisha saaaaana ambalo hutalisahau maishani mwako?
10.na tukio gani baya ulilowahi kulipata maishani mwako likakuumiza sana?
11.unaonaje maisha ya humu kijijini?
12.ww ni kabila gani?

SIFA

1.Kwanza ww ni mzuri
2.Kwa jinsi ulivyo unaonyesha una adabu na hekima na busara nyng,hongera kwa hilo na mshukuru mungu wako.
3.inaonyesha hupendi ugomvi na ni mpole sana

USHAURI
1.Unaonyesha ni mtu wa matanuzi sana punguza.
2.kama hujawahi kuingia kwenye fani ya umodo sasa huu ni wakati wako coz una kila sifa.

kwa dakika hii ni hayo tu nikishamaliza kazi nitakuja kumalizia kuswalika mengne baada ya muda mfupi.

MARY WA MGUMBO majibu yanahitajika.

Kaka kunambi napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Sifa ulizonipa,

Kweli ninakila sababu ya kumshukuru mungu kwa kuniumba jinsinilivyo.

Sifa na apewe Mungu muumbaji.

ASANTE KWA USHAURI KUNAMBI

 1. Kweli napenda kujirusha pale ninapopata muda maana kutokana na majira na mfumo wa kazi zangu,huwa nakuwa bize sana kipindi cha Summer na winter ndio muda wangu wakupumzika so sometys najipa raha.ha haaa.Ila ntapunguza.Asante.
 2. Kwa swala la kuingia kwenye umodo,kweli sina interest na hayo mambo.
  Mary wa mkumbo said:

Kaka kunambi napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Sifa ulizonipa,

Kweli ninakila sababu ya kumshukuru mungu kwa kuniumba jinsinilivyo.

Sifa na apewe Mungu muumbaji.

KUNAMBI Jr said:

MASWALI.

1.tupe jina halisi la kwako
2.unakaa nchi gani?
3.umeolewa?
4.una watoto wangapi?
5.unafanya kazi wapi?
6.unatumia bwax kama mdau aliyepita?
7.nini unapenda na nn hupendi? I mean ur hobbies
8.ukipewa bahati ya kumchagua handsome na kisura wa kijiji cha tulonge toka kwa MD Mr Dis ungependekeza majina gani?
9.ktk maisha gani ni tukio gani lililokufurahisha saaaaana ambalo hutalisahau maishani mwako?
10.na tukio gani baya ulilowahi kulipata maishani mwako likakuumiza sana?
11.unaonaje maisha ya humu kijijini?
12.ww ni kabila gani?

SIFA

1.Kwanza ww ni mzuri
2.Kwa jinsi ulivyo unaonyesha una adabu na hekima na busara nyng,hongera kwa hilo na mshukuru mungu wako.
3.inaonyesha hupendi ugomvi na ni mpole sana

USHAURI
1.Unaonyesha ni mtu wa matanuzi sana punguza.
2.kama hujawahi kuingia kwenye fani ya umodo sasa huu ni wakati wako coz una kila sifa.

kwa dakika hii ni hayo tu nikishamaliza kazi nitakuja kumalizia kuswalika mengne baada ya muda mfupi.

MARY WA MGUMBO majibu yanahitajika.

kunambi naendelea na majibu ya maswali yako

13.Napenda Disco,live band

14.nikipata  white Wine naburudika zaidi,hahaa

15.Napenda kula Pizza,wali,ugali, samaki,ndizi.

16.Siri ya mafanikio ya utanashati wangu ni kula matunda zaidi,mazoezi kidogo na kutokutumia madawa ya kujichubua na sipendi vipodozi vingi,napenda kuwa natural zaidi.

17.Ndio nilishawahi kuumizwa coz nilijikuta nikimpenda mtu asiyenipenda.

18.Nina elimu ya O'level,Diploma in Tourism and Hotel management

19.Nina mpango wa kujiendeleza kielimu zaidi.

20.Mungu akinijalia nampango wa kuwa na watoto 3 ktk uzazi wangu.

21.Napenda tunda la  Red Apple.

22.I have 30 yrs old.

 23.Asante kunambi kwa maswali yako,kama kunamahali hujanielewa au sijajibu ipasavyo RUKSA KUULIZA TENA,ha haa.,uwe na wakati mzuri.
KUNAMBI Jr said:

namalizia na maswali yangu,

13.unapenda kujirusha yaani kama disco au kwenye live band?

14.kinywaji gani kwako ukikipata kinakupa burudani kwa saaana?

15.na chakula gani unachopenda kukila?

16.kwenye picha zako unaoneka ni mtanashai sana je?nn siri ya mafanikio yako?

17.je ulishawahi kuumizwa ktk maisha yako?

18.una elimu katika ngazi ipi?

19.una mipango gani katika future yako?

20.na unategemea kupata au kuwa na  watoto wangapi ktk uzazi wako?

21.ni tunda gani unalolipenda sanaaaana?

22.how old r u?

23....................nikutakie maandalizi mema ya kujibu miswali ya wadau wengne.

Sijawahi kumuona mdada huyu, ila nahisi ni mtu bomba sana, kwa maana ni mtu wa watu, asiyependa makuu na vitu kama hivyo.

Big Up Dada

dada Mary safi sana

Maswali yangu ni kama yafuatavyo:

1. Umesoma shule ipi ya msingi,mkoa gani, wilaya na kijiji?

2. Elimu ya sekondari umeipatia wapi?

3. Chuo ulichosomea.

4.Una watoto wangapi?

5.Una mume/mchumba? na je ni mbongo au mdhungu?

Mengine baadaye ukishajibu haya!!!

HAPPY NEW YEAR NA HONGERA KWA KUTUFUNGULIA MWAKA!

Cha the Great,

Asante kwa maoni yako.

uwe na wakati mzuri.
Cha the Great said:

Sijawahi kumuona mdada huyu, ila nahisi ni mtu bomba sana, kwa maana ni mtu wa watu, asiyependa makuu na vitu kama hivyo.

Big Up Dada

Asante Mkurugenzi,Bosi KUNAMBI
2po pamoja.
KUNAMBI Jr said:
dada Mary safi sana

Njomba mbona unamaliza maswali yote ???? sisi wengine tuulize nini sasa????

aaaagrrrrrrrrrr!

KUNAMBI Jr said:

namalizia na maswali yangu,

13.unapenda kujirusha yaani kama disco au kwenye live band?

14.kinywaji gani kwako ukikipata kinakupa burudani kwa saaana?

15.na chakula gani unachopenda kukila?

16.kwenye picha zako unaoneka ni mtanashai sana je?nn siri ya mafanikio yako?

17.je ulishawahi kuumizwa ktk maisha yako?

18.una elimu katika ngazi ipi?

19.una mipango gani katika future yako?

20.na unategemea kupata au kuwa na  watoto wangapi ktk uzazi wako?

21.ni tunda gani unalolipenda sanaaaana?

22.how old r u?

23....................nikutakie maandalizi mema ya kujibu miswali ya wadau wengne.

yaani kama mm mwalimu nakupa 89% ya max zote sasa angalia vipengele vifuatavyo na jaribu kuvifanyia kazi kama ushauri tu ok.......................

namba 3. tafuta mume haraka sana kwani umri wako unasogea, na kama huwezi basi Mr Chaoga yuko single so unaweza wahi nafasi pale mapema kabla haijawa occupied> its jokn teeee

namba 4.tafuta mtoto haraka sana mana maisha ya sasa bila kua na kababy utaihshia pabaya tuulize sisi tulioyaona kwa watu ambao hawana watoto halafu wakazeeka so wakuwatunza wanakua hakuna,so mtoto ni lulu pekee ya raha ya moyo maishani, mtafute MOREEN atakusaidia kwa hilo.

namba 6.swali ni hivi je unatumia maji ya TBL kama mdau chaoga (i mean kilevi)

namba 8.watu wote wanatakiwa kucomments hapo kama ni kweli,halafu BOss wa Tulonge atatoa jibu la mwisho kama Final Judge.

namba 9. inaonyesha ww sio mzalendo na nchi yako,coz watu hulia wanapoiacha nchi yao kwenda nch nyngne sasa ww hata chozi la huruma la TZ yako huna,suala hili atalishughulikia ziadi MAMA MALAIKA coz yy ni mwanasheria mzuri sana,ikiwezekana akupige stop kurudi TZ kabisa.

namba 10. pole sana dada yangu mungu amlaze Bibi yetu mahala pema peponi Emin, sisi tulimpenda lakin mungu kampenda zaidi, ni dua zetu tu zimfikie kwenye safari ya wote.

namba 15. kama usingetaja ugali ningeshtaki coz ungekua kama masister do kina Moreen ambao hawapendi ugali wakati ndio uliowalea mpaka wanajua kitu kinachoitwa chipusi.

namba 17. pole sana mungu atakupa mume mzuri na kama unahitaji wa haraka kaka Alfan yuko wala usipate tabu sana> tehee jokn

namba 20.ongeza mmoja coz ulichelewa sana kufyatua copy zako,now umri huo unasogea

namba 22. una 30 yrs halafu huna hata mtoto ww na Dis wote inabidi tuwafanyie uchunguzi kwann hamtaki kufyatua copy mapema.

MWISHO..........................akhsante kwa majibu yako mazuri nahs kesho mungu akipenda nitakua na maswali ya ziada coz naahirisha kikao cha bunge kwa mda mpaka kesho panapo majaliwa,mungu akipenda tutaonana hapahapa kijijini

 ANGALIZO:WA KWANZA KUFIKA KIJIJINI KESHO AKACHOTE MAJI NA KUPIKA CHAI KABISA.

baraka za bwana ziwashukie nawapenda nyote na jioni njemaaaa. c yaaaa

ALFANI napenda kukujibu kama ifuatavyo.

 1. Nimesoma Ngarenaro shule ya msingi,wilaya ya Arusha,mkoa wa Arusha.
 2. Nimesoma Karatu Sec,School,iliyopo Karatu
 3. CHUO - Tropical centre of tourism and Hotel management,Arusha,Tz,and Accademia del gusto ITALY.
 4. Sina mtoto
 5. Sijaolewa.sina mchumba.

SIKU NJEMA ALFAN.

Alfan Mlali said:

Maswali yangu ni kama yafuatavyo:

1. Umesoma shule ipi ya msingi,mkoa gani, wilaya na kijiji?

2. Elimu ya sekondari umeipatia wapi?

3. Chuo ulichosomea.

4.Una watoto wangapi?

5.Una mume/mchumba? na je ni mbongo au mdhungu?

Mengine baadaye ukishajibu haya!!!

HAPPY NEW YEAR NA HONGERA KWA KUTUFUNGULIA MWAKA!

RSS

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*