Tulonge

Huu ni uwanja wa kumkandamiza Mary swali,ombi,lawama,funzo,ushauri,dukuduku nk kwa kuzingatia maadili mema. Kumbuka na wewe unaweza ukawa mdau wa wiki baada ya wiki mbili zijazo. Kazi
kwako.

Views: 664

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

Mkuu

Mkuu

ya
Mkuu chaoga bila maswali hatuwezi kufahamiana vzr au we unasemaje,lengo hapa ni kufahamiana na kuwekana sawa ktk ulimwengu wa maisha yaende vzr au we una comments.
Mary hapo umejaribu kuni shawaishi kukukubali kua ww ni mzalendo, Dis na ww kweli mna prob sasa mnasubiri mpaka mue vibabu ndo mfyatue copy, na hapa hakuna wa kulea mitoto yenu naawambia kabisaaaaaa,labda muwapeleke kwa chaoga au mtemi kwangu nitawatimua teheeeeee

dada Mary unapendelea vitu gani katika maisha yako

hi mary hongera kwa kweli ww ni model keep up the good work stay safe
Kunambi mbona hiyo ni ishu ndogo sana,ishu ni kuanzisha kundi linalohusina na kitu ukitakacho halafu tunaunga mkono kwa kuweka madude yanayohusiana na hilo kundi.Kama ni kazi,scholarship nk wadau watachangia tu. Tena tunaweza tukawa tunastuana kuhusu kazi za chichini ambazo hata bado hazijatangazwa ili ukaanze kuandaa mazingira kabisa. SI unajua tupo na watu wa serikalini kibao hapa ndani. Au unashauri nn mkuu.

KUNAMBI Jr said:

mkuu Dis si unajua mm nilipiga HKL Pure linguist humo ndani, sasa hii social net inatufanya tujuane na kuwekana karibu ili kama patakua na mmoja anatatizo au ushauri tuweze kusaidiana, japo hatujuani Physical but hiki kijiji kimetuunganisha kua jamii na familia moja,

 

ANGALIZO""""""

mkuu Dis jaribu kutengeza kipengele cha kusaidiana sisi vijana wa humu kupeana habari mbalimbali kwa mfano.....scholarship,ajira,invitation kwenye confernce mbalimbali,wanatafuta waume au wake,na habari nyngne hii ni kwa sababu moja kuu, kwa mfano mm nina habari na nataka kuzipublish hapa ili kama kuna mdau ataona inamfaa basi aichukue kuna opportunities nyng jamani sema sasa tunashindwa kupeana, najua kuna ambao wanatafuta kazi na hawana kazi,kuna ambao wanahitaji kwenda kusoma nje na vyuo mbalimbali nchini sasa ukiweka kitu ambacho kwa mtu yoyote ana info ili aweze kuzifeed humo itakua mzuka mkuu DIS au we unasemaje?

hi LATIFA,

asante sana,i will.

siku njema.LATIFA MOHAMMED said:

hi mary hongera kwa kweli ww ni model keep up the good work stay safe

Hello kunambi,habari ya leo.

nafurahi kama umeshawishika, but u ll prove it soon kama mi mzalendo ,coz this week end i ll be home(tz)kabla mama malaika hajaninyima kibali cha kuja tz,ha haaaa.

KUNAMBI Jr said:

Mary hapo umejaribu kuni shawaishi kukukubali kua ww ni mzalendo, Dis na ww kweli mna prob sasa mnasubiri mpaka mue vibabu ndo mfyatue copy, na hapa hakuna wa kulea mitoto yenu naawambia kabisaaaaaa,labda muwapeleke kwa chaoga au mtemi kwangu nitawatimua teheeeeee


Dada Agnes hujambo mpendwa,

Katika maisha napende kusoma,kufanya kazi kwa bidii,starehe kidogo ha haaa,

kujuana na kubadilishana mawazo na watu tofauti kama wewe na wengine,Napenda siku moja mungu akinijalia niwe na familia yenye furaha.

uwe na wakati mzuri dada yangu.
Agnes Nyakunga said:

dada Mary unapendelea vitu gani katika maisha yako

niko poa kabisa dada Mary!

 

Kaka Dis point ya kaka Kunambi ni nzuri sana tena hiki kijiji chetu kitaonekana kijiji cha ujamaa au sio

RSS

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*