Tulonge

Huu ni uwanja wa kumkandamiza Mary swali,ombi,lawama,funzo,ushauri,dukuduku nk kwa kuzingatia maadili mema. Kumbuka na wewe unaweza ukawa mdau wa wiki baada ya wiki mbili zijazo. Kazi
kwako.

Views: 668

Replies are closed for this discussion.

Replies to This Discussion

haya dada Mary karibu sana Tziiiii ila ukija uozee maana unaweza kulala giza wiki nzima umeme si unajua tena.

asante Kunambi,

Ndiyo hivyo tena siunajuwa nyumbani ni nyumbani tuu.

Go east Go west home is home!

KUNAMBI Jr said:

haya dada Mary karibu sana Tziiiii ila ukija uozee maana unaweza kulala giza wiki nzima umeme si unajua tena.

Habari! Dada Mery Dah! unabahat sana niliandaa maswali lukuki bt Kunambi kaniwahi nimeridhika na majibu yako

 nisikuchoshe pamoja na yote nakupa nafasi ya kuchaguwa mchumba  hapa kijijini maana kijiji chetu kina

mijidume miiingi lol  mahali nitachangia.

ha haaaa haa,omary hujatuia wewe eti.....utachangia.

kunambi hanitakii mema eti kaniambia niwahi kwa Chaoga na Alfani wapo singo,

sinikaanza kukimbilia huko,mara nakuta wapo occupied,jokes!

Nafurahi kusikia umeshapata majibu ya maswali yako.

2po pamoja!Omary said:

Habari! Dada Mery Dah! unabahat sana niliandaa maswali lukuki bt Kunambi kaniwahi nimeridhika na majibu yako

 nisikuchoshe pamoja na yote nakupa nafasi ya kuchaguwa mchumba  hapa kijijini maana kijiji chetu kina

mijidume miiingi lol  mahali nitachangia.

Mi nimefurahi mthungu wangu kuwa mdau wa wiki, ila naomba nimuulize maswali yangu mawili kwa kuanzia. 1. Kwao hutoza mahali kiasi gani? 2. Je, anamdogo wake? Akinijibu nitauliza maswali ya nyongeza.
umesahau kumalizia msemo dada MARY@ and education is best teheeeee, pole na miswali ya kufa mtu usijali nakuacha upumzike kwanza

Silas habari ya wewe rafiki,

sawa bwana we furahi tuu,

  1. kwetu mahari ni makubaliano ya pande mbili,usiogope hili kabila langu wazazi sikuhizi wameelimika kidogo sio kama zamani wanataka waone Ngombe  haswaa,siunajuwa sisi na wasukuma hatupishani eehe!
  2. Silasi ndiooo,nina wadogo zangu wakike wawili lakini bado wanasoma so,usitakeKUWAFATAKI jamani,ha haaa,jokes!

Uwe na wakati mzuri mpendwa.

Silas A. Ntiyamila said:

Mi nimefurahi mthungu wangu kuwa mdau wa wiki, ila naomba nimuulize maswali yangu mawili kwa kuanzia. 1. Kwao hutoza mahali kiasi gani? 2. Je, anamdogo wake? Akinijibu nitauliza maswali ya nyongeza.

asante kunambi usijali,

siku njema.

KUNAMBI Jr said:

umesahau kumalizia msemo dada MARY@ and education is best teheeeee, pole na miswali ya kufa mtu usijali nakuacha upumzike kwanza
Nimekusoma Agnes,tutakuwa pa1 katika kukuza wazo la Kunambi. Jamaa ana akili sana,nadhani alisoma Msalato girls teh teh teh

Agnes Nyakunga said:

niko poa kabisa dada Mary!

Kaka Dis point ya kaka Kunambi ni nzuri sana tena hiki kijiji chetu kitaonekana kijiji cha ujamaa au sio

Asante dada Mary kwa majibu yako mazuri. Nina hakika wadau tumekufahamu vizuri zaidi. Pia pole kwa maswali mazito toka kwa wadau. Asanteni kwa ushirikiano wenu wadau,kaeni mkao wa kula kwa mdau mwingine wa wiki tar 15/01/2011.

RSS

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*