Tags:
Replies are closed for this discussion.
kaka habari kwanza hongera kwa kua mdau wa wiki,
me nina swali moja tu leo,kwa muonekano wako unaonekana u mstarabu sana, tupe siri ya mafanikio yako
Kaka hongera sana kwa kuwa mdau wa Wiki, kismati chako leo ndugu. Mi naomba uniambie historia yako kwa ufupi. Pili kwa sasa kuna hali ya kutisha hususani wakati mtu akianza kusafiri, si nchi kavu majini wala angani. Je unafikiri nini kifanyike????
1 Kaka Kunambi kwanza namshukuru MUNGU kwa kila kinachotokea ktk huu ulimwingu kwani bila yeye kusingekuwa na chochote ulimwinguni.
2 Asante sana kwa pongezi zako
siri ya mafanikio yangu ni MUNGU pekee ndio anajuwa ila kwa upande wangu kama mwanaadam
nina haya yakusema kwanza kumuogopa MUNGU kutakufanya uwe mpole na kuonea huruma kiumbe chochote
kilichopo chini ya aridhi, kufikiri kabla ya kutenda na malezi pia yanachangia mtu kuwa mstarabu.
Kaka hongera sana kwa kuwa mdau wa wiki!
Jiandae naenda kupekua maswali nakuja muda si mrefu!!
1. Unazungumziaje suala la uzazi wa mpango? Una watoto wangapi hadi sasa?
2. Mungu anasema "Ndoa na iheshimiwe na wote (mke/mume)". Je wewe unaheshimu ndoa yako?
Jibu kwanza hayo, then nitakuja tena.
We Dis uzazi wa mpango wa nini? cc ukoo wetu tupo kidogo sana so nataka walau niuongeze ila nitahakikisha watoto hawaongozani saana myaka 3 au 4 ukizingatia me napenda sana watoto kikubwa nikujituma kupita kiasi kuhakikisha unapata mahitaji yao yote au unaweza kuwatunza vyema kwani dunia ya sasa ndugu yako wa kweli ni mwanao zaidi ya hapo ukute ndugu mwenye imani sana au uwe na pesa ndio utahudumiwa na ndugu wakitegemea ukifa warithi mali.
yeah ndoa inatakiwa kuheshimiwa tena sana kwangu naiheshimu sana pia najuwa majukumu yangu binafsi maana kuna wana ndoa wengine hawajui majukumu yao na ndio inapelekea utata ndani yake.
-Unatarajia kuwa na watoto wangapi ktk maisha yako, hadi sasa umefikisha wangapi?
-Unaonekana bishoo sana, nini kinachokufanya upende ubishoo? Maana naona macheni shingoni,uso wa saloon kila siku.
Mzee wa kudai picha naona leo umeremba home page.
1. Una miaka mingapi?
2. Tupe historia ya elimu yako, kuanzia chekechea hadi mwisho.
3. Unapenda mwanake mwenye sifa zipi? (kitabia na kimaumbile), je mkeo ana sifa hizo?
Jibu kwanza hayo.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by