Tags:
Replies are closed for this discussion.
Hahahahahah SEVERIN acha wehu kwanza me sio bishoo kama unavyofikiri pia kuvaa chen sio ubishoo,
uso wa saloon kila siku sio kweli me natumia sabuni ya mbuni au kuku kuogea ambayo ni sabuni ya kawaida kabisa
ambayo tunatumiaga hata vijijini mafuta sipakagi kwani ngozi yangu inamafuta na hata ikibidi nipake napaka vaseline ili nisipauke mikononi but usoni situmii mafuta kabisaa, kuna k2 nilikuwa sijakifahamu kumbe kuvaa chen ni ubishoo?
au ubishoo ni nini? naomba ufafanuzi pls huenda me sijui maana halisi ya ubishoo me najiona mkawaida sana so nashanhaa mnavyoniita bishoo?! kigezo ni nini?
je na wale wanaovaa macheni 7 tena yanakuwa malefu mpaka tumboni raba kuubwa jins hilo tena anavalia matakoni cap inavaliwa upande t-shirt imempita umli nywele wamesuka heleni sikioni hao ndio mabishoo. nafikiri nimeeleweka Kaka SEVERIN
Severi naomba nimalizie swali lako me nina watoto 2 Faisal na Faiza, matarajio ya kuwa na watoto wangapi hiyo ni siri ya MUNGU kwani huwezi juwa anavyopanga ila watoto atakaonijaalia nao nitawapoke kwa furaha hata 10.
Belita my Dada umeniitaje? vile lol ok kwanza me sijasoma chekechea nilianza la kwanza shule ya msingi Mabawa TANGA kilicho7bisha nisisome chekechea ni Mdrasa kwa sisi waisilam mtoto lazima aende madrasa na kidato cha 4 nilimaliza pale kideleko seko scool iliopo handeni TANGA 5 na 6 vosa nikapiga chini baada ya hapo nikaungaunga vyuo vya mitaani iit, princi computer power computer, hurtbeat oline. pia napenda kujifunza kila kukicha
nimeajiliwa pia nimjasiliamali ODTECH SOLUTIONS ukitaka kujuwa odtech inafanya nini? www.odtechtz.com
umm kuhusu mwanamke wa aina gani kweli unajuwa ukiingia ktkt swala la uchaguzi inabidi usifanye makosa
ktk dini yangu inanirusu kumpenda mwanamke kutokana na sifa zake uzuri wake,mali zake,ukoo wao, na dini yake je ni mpenda dini?. huyu wa mwisho ndio mwanamke wa kuoa maumbile sio kigezo saana kikubwa mapenzi ya dhati na imaninya ki MUNGU iwe ndani yenu. umli wangu 28 29 tupo pamojah? karibu sana my Dada.
Kaka Emmanuel me naishi kigamboni
ni IT wa raha.com hapa dar.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by